Wamisionari waliofika Tanganyika walikuta watu wamestaarabika na wanajua kusoma na kuandika

Inatusaidia sana kuuufahamu uislamu. Huwa namfuatulia anapoongea facts
 
Mzee,
Walikuwa wanajua kusoma na kuandika lugha gani hasa?
Kiswahili kwa kutumia herufi za Kiarabu. Hiki Kiswahili unachotumia leo kilikuwa kinaandikwa kwa herufi za Kiarabu kabla ya mabeberu kulazimisha herufi hizi za Kilatini. Hata ukiangalia rupia za mwanzo za Mjerumani zilikuwa na maandishi ya Kiarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…