Wamisri wachukia dhana kwamba Malkia Cleopatra II alikuwa ni mwafrika mweusi

Wamisri wachukia dhana kwamba Malkia Cleopatra II alikuwa ni mwafrika mweusi

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Juzi hapa Netflix waliachia Trailer la series inayohusu maisha ya Malkia Cleopatra wa Misri. Baada ya trailer hiyo watu(ambao sio Negro/Weusi) wameponda sana kumuweka/kumuonyesha Cleopatra alikuwa mweusi.
Wanasema hawataitizama kwakuwa haikisi ukweli kwamba Cleopatra alikuwa mweusi.

👉Kuna watu weusi wengine wamekuwa wakijibizana na wazungu kwamba ni Racist.

Najua na humu JF mnaweza kuwaponda wazungu lakini kiukweli wapo sahihi, Cleopatra hakuwa mweusi.

Baada ya Alexander the Great kufariki miaka kadhaa mbele (Mwaka 305BC) Moja kati ya majenerali waliokuwa nae huko Mirsi alibadirisha mfumo wa utawala wa Misri akaibadili Misri kuwa Ufalme wa Plotemy (Plotemaic Dynasty) Waliweka sheria kuwa wafalme wanatakiwa kujifunza mila na desturi za nyumbani kwao Ugiriki (Makedonia) ili kutimiza hilo walioana wao kwa wao yaani kaka anamuoa dada au shangazi na ndugu wengine na walikuwa hawaruhusu kujifunza lugha wala tamaduni za wamisri.

Mwaka 69BC huko Alexandria Misri, Cleopatra Anazaliwa

Cleopatra alikuwa anatoka kwenye huo ukoo wa Plotemy ila alikuwa anapenda kujifunza vitu na kuwa na watu hivyo yeye ndio akawa wa kwanza kujifunza lugha na tamaduni za Kimisri. Kwakuwa Cleopatra alikuwa anajua na alizifuata mila na desturi za Misri ndio maana wengi huwa wanadhani kuwa Cleopatra alikuwa Mmisri mweusi, ila kiukweli alikuwa mweupe pee! Mgiriki.

Inasemekana Cleopatra alikuwa anaongea lugha zaid ya 12.

Pia soma > Jinsi mapenzi yalivyofanya ufalme wa Egypt/Mizraim kuanguka na kusambaratika

FB_IMG_1681332610051.jpg


----
African Queens: Queen Cleopatra features British actress Adele James as the Egyptian ruler

A Netflix docudrama series that depicts Queen Cleopatra VII as a black African has sparked controversy in Egypt.

A lawyer has filed a complaint that accuses African Queens: Queen Cleopatra of violating media laws and aiming to "erase the Egyptian identity".

A top archaeologist insisted Cleopatra was "light-skinned, not black".

But the producer said "her heritage is highly debated" and the actress playing her told critics: "If you don't like the casting, don't watch the show."

Adele James made the comment in a Twitter post featuring screengrabs of abusive comments that included racist slurs.

Cleopatra was born in the Egyptian city of Alexandria in 69 BC and became the last queen of a Greek-speaking dynasty founded by Alexander the Great's Macedonian general Ptolemy.

She succeeded her father Ptolemy XII in 51 BC and ruled until her death in 30 BC. Afterwards, Egypt fell under Roman domination.

The identity of Cleopatra's mother is not known, and historians say it is possible that she, or any other female ancestor, was an indigenous Egyptian or from elsewhere in Africa.

Netflix's companion website Tudum reported in February that the choice to cast Adele James, a British actress who is of mixed race, as Cleopatra in its new documentary series was "a nod to the centuries-long conversation about the ruler's race".

Jada Pinkett Smith, the American actress who was executive producer and narrator, was meanwhile quoted as saying: "We don't often get to see or hear stories about black queens, and that was really important for me, as well as for my daughter, and just for my community to be able to know those stories because there are tons of them!"

But when the trailer was released last week many Egyptians condemned the depiction of Cleopatra.

The BBC is not responsible for the content of external sites. YouTube content may contain adverts.

This article contains content provided by Google YouTube. We ask for your permission before anything is loaded, as they may be using cookies and other technologies. You may want to read Google’s cookie policy, external and privacy policy, external before accepting. To view this content choose ‘accept and continue’.

Zahi Hawass, a prominent Egyptologist and former antiquities minister, told the al-Masry al-Youm newspaper: "This is completely fake. Cleopatra was Greek, meaning that she was light-skinned, not black."

Mr Hawass said the only rulers of Egypt known to have been black were the Kushite kings of the 25th Dynasty (747-656 BC).

"Netflix is trying to provoke confusion by spreading false and deceptive facts that the origin of the Egyptian civilisation is black," he added and called on Egyptians to take a stand against the streaming giant.

On Sunday, lawyer Mahmoud al-Semary filed a complaint with the public prosecutor demanding that he take "the necessary legal measures" and block access to Netflix's services in Egypt.

He alleged that the series included visual material and content that violated Egypt's media laws and accused Netflix of trying to "promote the Afrocentric thinking... which includes slogans and writings aimed at distorting anderasing the Egyptian identity".

Three years ago, plans for a movie about Cleopatra starring the Israeli actress Gal Gadot triggered a heated debate on social media, with some people insisting that the role should instead go to an Arab or African actress.

Gadot subsequently defended the casting decision, saying: "We were looking for a Macedonian actress that could fit Cleopatra. She wasn't there, and I was very passionate about Cleopatra."

Source: BBC
 
Unaongea kitu usicho kijua
History imekuwa edited ..
Unajua chanzo cha kuwepo somo linaitwa "Egyptology"..
Walianzisha Hilo somo maalum Kwa Ku edit history ya Egyptians...
Kufuta history ya watu weusi na kupachika hao wagiriki....

Hakuna Europeanology wala Romanology wala Greekology wala Americanology ...only Egyptology...
Hijiulizi.?
 
Unaongea kitu usicho kijua
History imekuwa edited ..
Unajua chanzo cha kuwepo somo linaitwa "Egyptology"..
Walianzisha Hilo somo maalum Kwa Ku edit history ya Egyptians...
Kufuta history ya watu weusi na kupachika hao wagiriki....

Hakuna Europeanology wala Romanology wala Greekology wala Americanology ...only Egyptology...
Hijiulizi.?
Kizazi cha watu weusi wa Misri kilipotea vipi

Na je waarabu nchini Misri sio asili yao?

Naomba utuelimishe


Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
 
Kizazi cha watu weusi wa Misri kilipotea vipi

Na je waarabu nchini Misri sio asili yao?

Naomba utuelimishe


Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
Hao unaowaona wapo misri sasa wametokea Ulaya..
Tunawaita waarabu Kwa sababu dini Yao ni waislam na wanaongea Arabic language na culture baada ya Ottoman empire kutawala hapo na dini ya Kiislam kuwa dini ya Taifa maeneo hayo ila hao asili Yao ni Macedonia,Greece na meditaranean Europe .... Actually North Africa yote Haina waarabu....wazungu wanafanya ujanja wa Ku preach uongo mda mrefu Sana Hadi watu tuanawaamini

Wamorocco na wahispania...same same tofauti ni dini Tu

Tunisia na Italians same same tofauti Dini... majority ya Egyptians WA sasa walitoka Greece na Macedonia

Wale ma farao wazamani waliojenga pyramids walikuwa Nubians ambao sasa Wengi wapo Sudan

Zamani Egypt ya Sasa na Sudan zilikuwa nchi moja, history imekuwa edited Sana nna thread humu inaitwa Moors watu weusi waliotawala Ulaya.

Watu weusi sio Tu walitawala Egypt lakini Hadi Ulaya walitawala...hata nchi kama Sweden na Denmark zinaficha history ya "blacks Vikings"...waliowaokoa na kuanzisha mataifa Yao .walikuwa weusi. Europe yote ilikuwa na watu weusi tena watawala na wapiganaji vita. History imechafuliwa Sana hata Leo ukiambiwa unaona kama ndo uongo
 
Unaongea kitu usicho kijua
History imekuwa edited ..
Unajua chanzo cha kuwepo somo linaitwa "Egyptology"..
Walianzisha Hilo somo maalum Kwa Ku edit history ya Egyptians...
Kufuta history ya watu weusi na kupachika hao wagiriki....

Hakuna Europeanology wala Romanology wala Greekology wala Americanology ...only Egyptology...
Hijiulizi.?
Twende taratibu mkuu..
Je ni kkweli Cleopatra anatoka kwenye koo ya Plotemy au hakua na au ??
Unachanganya watu wawili tofauti kati ya Malkia Nefertiti na Pharaoh Cleopatra

Wajua classical mythology??
 
Twende taratibu mkuu..
Je ni kkweli Cleopatra anatoka kwenye koo ya Plotemy au hakua na au hakua??

Wajua classical mythology??

Sina uhakika ...iko hivi watu weusi Wengi watawala wa Egypt walikuwa wanaoa watumwa hao kutoka Europe na watoto wao kuwa mixed colours na baadae hao watoto kuwa watawala pia...lakini Mfano Nefertiti alikuwa Pure black....Ramsey pure black...hii imeshakuwa proved na scientists ingawa movies zote utaona wazungu ..sijui Cleopatra alikuja lini....lakini ancient Egyptians were blacks.....

Wewe angalia Sana source ya history yako...kama imeandikwa na wazungu basi washakudanganya...
 
Hao unaowaona wapo misri sasa wametokea Ulaya..
Tunawaita waarabu Kwa sababu dini Yao ni waislam na wanaongea Arabic language na culture baada ya Ottoman empire kutawala hapo na dini ya Kiislam kuwa dini ya Taifa maeneo hayo ila hao asili Yao ni Macedonia,Greece na meditaranean Europe .... Actually North Africa yote Haina waarabu....wazungu wanafanya ujanja wa Ku preach uongo mda mrefu Sana Hadi watu tuanawaamini

Wamorocco na wahispania...same same tofauti ni dini Tu ..
Tunisia na Italians same same tofauti Dini... majority ya Egyptians WA sasa walitoka Greece na Macedonia...
Wale ma farao wazamani waliojenga pyramids walikuwa Nubians ambao sasa Wengi wapo Sudan...
Zamani Egypt ya Sasa na Sudan zilikuwa nchi moja..... history imekuwa edited Sana nna thread humu inaitwa Moors watu weusi waliotawala Ulaya...
Watu weusi sio Tu walitawala Egypt lakini Hadi Ulaya walitawala...hata nchi kama Sweden na Denmark zinaficha history ya "blacks Vikings"...waliowaokoa na kuanzisha mataifa Yao .walikuwa weusi...... Europe yote ilikuwa na watu weusi tena watawala na wapiganaji vita .... history imechafuliwa Sana hata Leo ukiambiwa unaona kama ndo uongo
waambie na Nubians ni wakinabnan
 
Sina uhakika ...iko hivi watu weusi Wengi watawala wa Egypt walikuwa wanaoa watumwa hao kutoka Europe na watoto wao kuwa mixed colours na baadae hao watoto kuwa watawala pia...lakini Mfano Nefertiti alikuwa Pure black....Ramsey pure black...hii imeshakuwa proved na scientists ingawa movies zote utaona wazungu ..sijui Cleopatra alikuja lini....lakini ancient Egyptians were blacks.....
Upo sahihi.
Nafahamu kabisa Pharaoh wemgi ukimtoa Alexander na utawala Plotemy Dynasty waliobaki wote waliku black. Ramiless II alikua black na goddess wao wengi walikua depicted as black. Ila kwa Cleopatra hapana...hakua black chombuko lake ni Macedonia ambao ni wazungu/wagiriki.

Cleopatra hakua nixed race she was pure Macedonian ndio maana walikua serious sana kuoana wao kwa wao ili wasichanganye rangi na wamisri asilia (Black)

Cleopatra ndio Pharaoh wa mwisho kabisa kwenye utawala wa misri
Wewe angalia Sana source ya history yako...kama imeandikwa na wazungu basi washakudanganya...
Waafrika hatujui kutunza kumbukumbu hivyo lazima tuamdikiwe tu historia. Hakuna jinsi
 
Kuna video inaitwa Africa in the Bible na kitabu kinaitwa Bible the black history.
Zinaelezea Historia ya Weusi ndani ya Misri na ndani ya Biblia.

Ila nikipitia vitabu vya wajomba kuna vitu vingi wameondoa husika au uwepo wa mtu mweusi kabisaa a.
 
Ukiona Hadi waholanzi wanaanza kukubali Leo kuwa ancient Egyptians were blacks ujue wameshindwa kudanganya kabisa
Ukiona Hadi waholanzi wanaanza kukubali Leo kuwa ancient Egyptians were blacks ujue wameshindwa kudanganya kabisa
Nakubali Ancient Egypt walikua weusi ila Cleopatra hakua mweusi hapo ndio hoja yangu iliposimamia.
[Naomba nikuulize na unijibu kwa uaminifu... Kama una watoto Je wafahamu birthday za watoto wako wote?? Una daftari/vitabu au picha ulizopiga ukiwa Teen ??]
 
Back
Top Bottom