Mpaka Japan kuna warriors wao wanaitwa Samurai walikuwepo black samurai....wajapan weusi waliokuwa Mashujaa....
Hata Bruce Lee mwalimu wake alikuwa mmarekani mweusi but history inafichwa
Huyu Black Samurai anaitwa Yesuke, tena alikua ni mbeba silaha mkuu wa mfalme ihistory inasema anatokea Msumbiji katika moja ya makabila ya wayao au wamakua wa Msumbiji..
Kuna page nyingi sana .. sikumbuki hii ya Bruce Lee niliitoa wapi ila karibu hii page labda utaona..waliweka Hadi picha za mwalimu WA Bruce Lee Akiwa na Bruce Lee huko Oakland..
Sorry naomba unitafutie ukiwa na muda. Situmii Insta sina App!
Natamani nilijue hilo...Nahofia isiwe walikua wanafanya Sparing tu huko San Francisco wakazusha kua ni mwalimu wake
Upo sahihi.
Nafahamu kabisa Pharaoh wemgi ukimtoa Alexander na utawala Plotemy Dynasty waliobaki wote waliku black. Ramiless II alikua black na goddess wao wengi walikua depicted as black. Ila kwa Cleopatra hapana...hakua black chombuko lake ni Macedonia ambao ni wazungu/wagiriki.
Cleopatra hakua nixed race she was pure Macedonian ndio maana walikua serious sana kuoana wao kwa wao ili wasichanganye rangi na wamisri asilia (Black)
Cleopatra ndio Pharaoh wa mwisho kabisa kwenye utawala wa misri
Waafrika hatujui kutunza kumbukumbu hivyo lazima tuamdikiwe tu historia. Hakuna jinsi
Finally the worth opponent, Our battle will be legendary!!!
Kaisari Agusto alipoivamia aliharibu kila kitu na kuhamisha vitabu na maarifa yote yaliyokuweko alexandria kuja Rome. Na ndio yaliyopo Vatican leo hii.. Agusto huyu huyu ndio aliyeitisha sensa Israel Yusuf na Maria wakaenda Bethlehem.
Huyu Black Samurai anaitwa Yesuke, tena alikua ni mbeba silaha mkuu wa mfalme ihistory inasema anatokea Msumbiji katika moja ya makabila ya wayao au wamakua wa Msumbiji..
Ni search engine ngapi ambazo zimetengenezwa na mtu weusi?? Au ni ngapi ambazo ni African based Search Engine. Kama zipo nitajie. Kama hamna, basi tuendelee kuamini source za wazungu
Juzi hapa Netflix waliachia Trailer la series inayohusu maisha ya Malkia Cleopatra wa misri wa Misri. Baada ya trailer hilo watu(ambao sio Negro/Weusi) wameponda sana kumuweka/kumuonyesha Cleopatra alikua mweusi.
Wanasema hawataitazma kwakua haikisi ukweli kwamba Cleopatra alikua mweusi.
[emoji117]Kuna watu weusi wengine wamekua wakijibizana na wazungu kwamba ni Racist.
Najua na humu JF mnaweza kuwaponda wazungu lakini kiukweli wapo sahihi, Cleopatra hakua mweusi.
Baada ya Alexander the Great kufariki miaka kadhaa mbele (Mwaka 305BC) Moja kati ya majenerali waliokua nae huko mirsi alibadirisha mfumo wa utawala wa Misri akaibadiri misri kua Ufalme wa Plotemy (Plotemaic Dynasty) Waliweka sheria kua wafalme wanatakiwa kujifunza mila na desturi za nyumbani kwao Ugiriki (Makedonia) ili kutimiza hilo walioana wao kwa wao yaani kaka anamuoa dada au shangazi na ndugu wengine na walikua hawaruhusu kujifunza lugha wala tamaduni za wamisri.
Mwaka 69BC huko Alexandria Misri, Cleopatra Anazaliwa
Cleopatra alikua anatoka kwenye huo ukoo wa Plotemy ila alikua anapenda kujifunza vitu na kua na watu hivyo yeye ndio akawa wa kwanza kujifunza lugha na tamaduni za kimisri. Kwakua Cleopatra alikua anajua na alizifuata mila na desturi za misri ndio maana wengi hua wanadhani kua cleopatra alikua Mmisri mweusi, ila kiukweli alikua mweupe pee! Mgiriki.
Inasemekana Cleopatra alikua anaongea lugha zaid ya 12.
Hello... Previous I wrote a topic centered on Greece and we discussed a bit about Egypt, So this Topic will be serving as a spin-off of that Topic. Will focus on Rise and fall of Egypt , Pharaoh's Dynasty Respectively Baada ya gharika iliyoikumba dunia wakati wa Noah (Nuhu) watoto wake wakaanza...
Cleopatra aliutumia vizuri uanauke wake ku seduce Julius Caesar ili awe salama kwenye utawala wake maana misri ilikuja kuwa colony la Roma na pia alimtumia Caesar kuwadhibiti dadake Asinoe na kakake Ptolemy, so Caesar alitakwa na k, Hadi Cleopatra aimzalia Julius Caesar mtoto mwanaume aliyeitwa Ptolemy caesarion, later Julius Caesar baada ya kufa akaanza kutoka na marc Antony aliyekuwa mmoja wamajemedari aliyekuwa akiwakilisha Egpty Hadi Cyprus baada ya kunogewa na penzi la Cleopatra na kupata matwins, pia ili Rome isipoteze ndio Augustus alipoivamia Egpty na kutokea vita na kuiteka ndipo Cleopatra na marc Antony kufa
Msituchanganye ma Cleopatra tunao majumbani kwetu wanatucharua akili tunatuma nayakutolea!.. then nikahangaike na Cleopatra wa kaisari huko mnatucharua
Cleopatra aliutumia vizuri uanauke wake ku seduce Julius Caesar ili awe salama kwenye utawala wake maana misri ilikuja kuwa colony la Roma na pia alimtumia Caesar kuwadhibiti dadake Asinoe na kakake Ptolemy, so Caesar alitakwa na k, Hadi Cleopatra aimzalia Julius Caesar mtoto mwanaume aliyeitwa Ptolemy caesarion, later Julius Caesar baada ya kufa akaanza kutoka na marc Antony aliyekuwa mmoja wamajemedari aliyekuwa akiwakilisha Egpty Hadi Cyprus baada ya kunogewa na penzi la Cleopatra na kupata matwins, pia ili Rome isipoteze ndio Augustus alipoivamia Egpty na kutokea vita na kuiteka ndipo Cleopatra na marc Antony kufa
Juzi hapa Netflix waliachia Trailer la series inayohusu maisha ya Malkia Cleopatra wa misri wa Misri. Baada ya trailer hilo watu(ambao sio Negro/Weusi) wameponda sana kumuweka/kumuonyesha Cleopatra alikua mweusi.
Wanasema hawataitazma kwakua haikisi ukweli kwamba Cleopatra alikua mweusi.
👉Kuna watu weusi wengine wamekua wakijibizana na wazungu kwamba ni Racist.
Najua na humu JF mnaweza kuwaponda wazungu lakini kiukweli wapo sahihi, Cleopatra hakua mweusi.
Baada ya Alexander the Great kufariki miaka kadhaa mbele (Mwaka 305BC) Moja kati ya majenerali waliokua nae huko mirsi alibadirisha mfumo wa utawala wa Misri akaibadiri misri kua Ufalme wa Plotemy (Plotemaic Dynasty) Waliweka sheria kua wafalme wanatakiwa kujifunza mila na desturi za nyumbani kwao Ugiriki (Makedonia) ili kutimiza hilo walioana wao kwa wao yaani kaka anamuoa dada au shangazi na ndugu wengine na walikua hawaruhusu kujifunza lugha wala tamaduni za wamisri.
Mwaka 69BC huko Alexandria Misri, Cleopatra Anazaliwa
Cleopatra alikua anatoka kwenye huo ukoo wa Plotemy ila alikua anapenda kujifunza vitu na kua na watu hivyo yeye ndio akawa wa kwanza kujifunza lugha na tamaduni za kimisri. Kwakua Cleopatra alikua anajua na alizifuata mila na desturi za misri ndio maana wengi hua wanadhani kua cleopatra alikua Mmisri mweusi, ila kiukweli alikua mweupe pee! Mgiriki.
Inasemekana Cleopatra alikua anaongea lugha zaid ya 12.
Hello... Previous I wrote a topic centered on Greece and we discussed a bit about Egypt, So this Topic will be serving as a spin-off of that Topic. Will focus on Rise and fall of Egypt , Pharaoh's Dynasty Respectively Baada ya gharika iliyoikumba dunia wakati wa Noah (Nuhu) watoto wake wakaanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.