Nimecheka sana hili ndiyo tatizo lililopa katika huu mjadala.Unataka ushahidi wa aina gani?? Naweza kukuletea portraits zake Kama utasema Cleopatra hakuishi coz picha zake si halisi basi naweza sema pia Muhammad (SAW) hakuwahi kuwepo duniani, je utabisha?
Tuanzie hapa, kuwepo kwa picha au kutokuwepo siyo ushahidi wa kuonyesha uwepo wa kitu.
Nataka ushahidi wa kihistoria ambao unarudi kwenye Primary Source. Kingine sijasema hakuishi nimeandika huenda.
Ukisema Muhammad hakuishi nitakutomba ushahidi. Mimi nasema Muhammad ameishi, sababu nina chain na habari zake zimepokelewa au kusimuliwa na watu zaidi ya mmoja tena waadilifu na wakweli. Huku usiguse sababu ni bahari nyingine.
Tuanzie hapa katika Yale maswali niliyo uliza.
1. Nani wa kwana kuandika historia ya Cleopatra ?
2. Je aliyeandika Historia ya Cleopatra alimuona Cleopatra ?
3. Kama hakumuona je habari zake amezipata wapi ?
Tuanze na maswali haya kwanza.