Wamisri wachukia dhana kwamba Malkia Cleopatra II alikuwa ni mwafrika mweusi

Brain
Cleopatra alikuwa mu Giriki by nature na hyo ilitokea baada ya Alexander the Great kufa wale majemedari waligawana regions za kuongoza na ndio Ptolemy dynasty ikawa Ina rule Egpty ndio Cleopatra akafikiwa kuongoza. So Cleopatra was a Greek but leading Egpty
BrainWashed
 
Naam alexander aliongoza ugiriki, Iran/Persia, Misr nk. So alipokufa Darius yeye aliongoza Ugiriki ila majemedali wengine wakajichukulia sehemu mbalimbali alizotawala ndipo koo ya Plotemy ilipojipatia tawala misri na Cleopatra ndio anatoka humo. So anayesema Cleopatra alikua mweusi labda atuambie je Plotemy Soter alikua mweusi??
 
Janja kujiita Da Vinci usijione jiniazi kuna vingine kubali huvijui, sema we kama zako nyingi unazoandika unaonyesha fika we eurocentric minded, umekuwa totally brainwashed huwajui waafrika wewe
Badala ya kunipinga kwa hoja kama walivyofanya wengine wewe unanishambulia Personally kana kwamba hapa tupo kushindana nani anajua zaidi...
 
Cleopatra ni black, kama walivyo mafarao wote waliotangulia mnadhani Netflix hawajui wanachofanya huu ni usawa wa ukweli na uwazi na bado mendgi tu msoyajua mtayajua
 
Naam alexander aliongoza ugiriki, Iran/Persia, Misr nk. So alipokufa Darius yeye aliongoza Ugiriki ila majemedali wengine wakajichukulia sehemu mbalimbali alizotawala ndipo koo ya Plotemy ilipojipatia tawala misri na Cleopatra ndio anatoka humo. So anayesema Cleopatra alikua mweusi labda atuambie je Plotemy Soter alikua mweusi??
Mkuu huyo Cleopatra alikuwa dada wa damu baba na mama mmoja na Alexander the great.
Inaonekana uko shallow sana sijui unatoa wapi taarifa zako
 
Daah ama kweli..mkuu kwenye masuala ya historia najua sana. Tunaweza kuongea kuhusu Aztec Yucatec, Norse mythology, Classical, Egyptology, nk tukakesha.

Hivi inawezekana mtu aliyezaliwa 69BC na 356BC wakawa wamezaliwa tumbo moja?? Unachekesha! Nimeweka link post #1 kasome mada hiyo utajua japo kwa ufupi Cleopatra na Alexander wametoka wapi
 
Inakuwaje hujui Alexander the great alikuwa na dada anaitwa Cleopatra na alikuwa kiongozi, hiyo historia ya kuunga unga unasoma wapi!?
 
Elewa point yangu.. Cleopatra hakuwahi kutawala Ugiriki bali misri tu. Na Cleopatra na Alexander hawakuwahi kuonana. Wamezaliwa nyakati mbili tofauti. Cleopatra alikua na dada wengi sana baba yake alikua na wake 7 kama sijakosea.. maybe jina Cleopatra lilikua common kwa Wagiriki
 
Nimekuuliza umesoma hostoria na hujui Alexander the great dada yake wa damu alikuwa Cleopatra!?
Labda kama unasoma magazeti ya udaku.
 
Naam alexander aliongoza ugiriki, Iran/Persia, Misr nk. So alipokufa Darius yeye aliongoza Ugiriki ila majemedali wengine wakajichukulia sehemu mbalimbali alizotawala ndipo koo ya Plotemy ilipojipatia tawala misri na Cleopatra ndio anatoka humo. So anayesema Cleopatra alikua mweusi labda atuambie je Plotemy Soter alikua mweusi??
Uko sahihi kabisa
 
Elewa point yangu.. Cleopatra hakuwahi kutawala Ugiriki bali misri tu. Na Cleopatra na Alexander hawakuwahi kuonana. Wamezaliwa nyakati mbili tofauti. Cleopatra alikua na dada wengi sana baba yake alikua na wake 7 kama sijakosea.. maybe jina Cleopatra lilikua common kwa Wagiriki
Cleopatra alikuwa na dada Arsinoe ka Niko sahihi kimaandishi ambaye alikuwa anaongoza na mdogo wake Ptolemy na waliongoza some sort of Uasi Hadi Julius Caesar kuingilia ndio Cleopatra akamuwin kingono Caesar ndio dadake kupelekwa Rome na Caesar kumsamehe na kumweka ka kifungoni kwenye temple alivokufa tu Julius Caesar Cleopatra kupitia ushawishi wa Marc Anthony dadake akauliwa ili wasi compete kiutawala
 
Back
Top Bottom