Wamisri wachukia dhana kwamba Malkia Cleopatra II alikuwa ni mwafrika mweusi

Unaongea kitu usicho kijua
History imekuwa edited ..
Unajua chanzo cha kuwepo somo linaitwa "Egyptology"..
Walianzisha Hilo somo maalum Kwa Ku edit history ya Egyptians...
Kufuta history ya watu weusi na kupachika hao wagiriki....

Hakuna Europeanology wala Romanology wala Greekology wala Americanology ...only Egyptology...
Hijiulizi.?
Inawezekana hata Misri ilikuwa nchi ya weusi ila Waarabu walivamia tu..

Ila Cleopatra kusema hakuwa mweusi haiingi akilini.
zitto junior
 
Juzi hapa Netflix waliachia Trailer la series inayohusu maisha ya Malkia Cleopatra wa misri wa Misri. Baada ya trailer hilo watu(ambao sio Negro/Weusi) wameponda sana kumuweka/kumuonyesha Cleopatra alikua mweusi.
Wanasema hawataitazma kwakua haikisi ukweli kwamba Cleopatra alikua mweusi.

[emoji117]Kuna watu weusi wengine wamekua wakijibizana na wazungu kwamba ni Racist.
Najua na humu JF mnaweza kuwaponda wazungu lakini kiukweli wapo sahihi, Cleopatra hakua mweusi.

Baada ya Alexander the Great kufariki miaka kadhaa mbele (Mwaka 305BC) Moja kati ya majenerali waliokua nae huko mirsi alibadirisha mfumo wa utawala wa Misri akaibadiri misri kua Ufalme wa Plotemy (Plotemaic Dynasty) Waliweka sheria kua wafalme wanatakiwa kujifunza mila na desturi za nyumbani kwao Ugiriki (Makedonia) ili kutimiza hilo walioana wao kwa wao yaani kaka anamuoa dada au shangazi na ndugu wengine na walikua hawaruhusu kujifunza lugha wala tamaduni za wamisri.

Mwaka 69BC huko Alexandria Misri, Cleopatra Anazaliwa

Cleopatra alikua anatoka kwenye huo ukoo wa Plotemy ila alikua anapenda kujifunza vitu na kua na watu hivyo yeye ndio akawa wa kwanza kujifunza lugha na tamaduni za kimisri. Kwakua Cleopatra alikua anajua na alizifuata mila na desturi za misri ndio maana wengi hua wanadhani kua cleopatra alikua Mmisri mweusi, ila kiukweli alikua mweupe pee! Mgiriki.
Inasemekana Cleopatra alikua anaongea lugha zaid ya 12.

View attachment 2587740
[Soma zaidi hapa...]
ila kiukweli alikua mweupe pee! Mgiriki.
Inasemekana Cleopatra alikua anaongea lugha zaid ya 12

We mwenyewe huna hakika na tena unathibitisha alikua ni Mgiriki
 
Hapa mmenifanya nikamgpogle Cleopatra. Huwa namuona kwenye movies au series za Egypt sana na nishaona story yake before I didn't give it a close look

To be honest nachokumbuka alivyozungumziw walidai hakuwa African ila The Boss anaweza kuwa ana jambo anajua na hatulijui
Hakua muafrika. Alexander the great kama angekua anaishi sana misri wakati anaitawala si ajabu nae wanemuita muafrika
 
Tusibishane bure. Hao watu weupe wa Egypt sasa hivi wako wapi?
 
Watu hadi leo tunakunya porini ambapo reli ya kisasa ya umeme ya mkopo inamopitia tutaweza kuandika ya kwetu kweli?
Ajabu ni ipi, Mzungu kuchambia karatasi na mwarabu kuchambia maji.
No universal rules na sheria hazitatosha kamwe. so kila mtu na aishi kwa tamaduni zake.
 
I se
Juzi hapa Netflix waliachia Trailer la series inayohusu maisha ya Malkia Cleopatra wa misri wa Misri. Baada ya trailer hilo watu(ambao sio Negro/Weusi) wameponda sana kumuweka/kumuonyesha Cleopatra alikua mweusi.
Wanasema hawataitazma kwakua haikisi ukweli kwamba Cleopatra alikua mweusi.

👉Kuna watu weusi wengine wamekua wakijibizana na wazungu kwamba ni Racist.
Najua na humu JF mnaweza kuwaponda wazungu lakini kiukweli wapo sahihi, Cleopatra hakua mweusi.

Baada ya Alexander the Great kufariki miaka kadhaa mbele (Mwaka 305BC) Moja kati ya majenerali waliokua nae huko mirsi alibadirisha mfumo wa utawala wa Misri akaibadiri misri kua Ufalme wa Plotemy (Plotemaic Dynasty) Waliweka sheria kua wafalme wanatakiwa kujifunza mila na desturi za nyumbani kwao Ugiriki (Makedonia) ili kutimiza hilo walioana wao kwa wao yaani kaka anamuoa dada au shangazi na ndugu wengine na walikua hawaruhusu kujifunza lugha wala tamaduni za wamisri.

Mwaka 69BC huko Alexandria Misri, Cleopatra Anazaliwa

Cleopatra alikua anatoka kwenye huo ukoo wa Plotemy ila alikua anapenda kujifunza vitu na kua na watu hivyo yeye ndio akawa wa kwanza kujifunza lugha na tamaduni za kimisri. Kwakua Cleopatra alikua anajua na alizifuata mila na desturi za misri ndio maana wengi hua wanadhani kua cleopatra alikua Mmisri mweusi, ila kiukweli alikua mweupe pee! Mgiriki.
Inasemekana Cleopatra alikua anaongea lugha zaid ya 12.

View attachment 2587740
[Soma zaidi hapa...]
I see kumbe kalikuwaa kabayaaa hivyo?. Midomo mibaya kama ya gig money
 
Ukiwa mvivu wa kusoma vitabu na world history utaishi kwa kuhisi km wewe

Acha kujidanganya misri, Morocco na wote africa kaskazini ni waarabu kaa chini usome acha kuishi kwa kuhisi
Sina uhakika ...iko hivi watu weusi Wengi watawala wa Egypt walikuwa wanaoa watumwa hao kutoka Europe na watoto wao kuwa mixed colours na baadae hao watoto kuwa watawala pia...lakini Mfano Nefertiti alikuwa Pure black....Ramsey pure black...hii imeshakuwa proved na scientists ingawa movies zote utaona wazungu ..sijui Cleopatra alikuja lini....lakini ancient Egyptians were blacks.....

Wewe angalia Sana source ya history yako...kama imeandikwa na wazungu basi washakudanganya...
 
Ukiwa mvivu wa kusoma vitabu na world history utaishi kwa kuhisi km wewe

Acha kujidanganya misri, Morocco na wote africa kaskazini ni waarabu kaa chini usome acha kuishi kwa kuhisi
Hivyo vitabu kaandika nani?
Nyinyi ndo mnanganywaga mchana kweupe na mkiambiwa mmedanganywa hamtaki....
Wazungu washakuchota akili...
Usikute unaamini Europe ni continent pia...sababu wazungu wangekwambia kupitia vitabu vyao??

Hebu jiulize kama a continent lazima iwe surrounded na water mbona European continent haiko surrounded na water?? Uko brainwashed...na hujui..
 
Screenshot_2023-04-15-10-24-38-571_com.android.chrome.jpg
 
Ukiwa mvivu wa kusoma vitabu na world history utaishi kwa kuhisi km wewe

Acha kujidanganya misri, Morocco na wote africa kaskazini ni waarabu kaa chini usome acha kuishi kwa kuhisi
Asili Yao ni WA Africa ,kuwavwaaranu ni matokeo ya waarabu kuanzisha biashara na mahusiano na Arabic ndio tumeona waafrica wakaisha ikabaki hybrid ya kiarabu
 
Jews wenyewe ni weusi kama sisi tu.

Sio hao wazungu waliopo Israel kwa Sasa.
 
Hivyo vitabu kaandika nani?
Nyinyi ndo mnanganywaga mchana kweupe na mkiambiwa mmedanganywa hamtaki....
Wazungu washakuchota akili...
Usikute unaamini Europe ni continent pia...sababu wazungu wangekwambia kupitia vitabu vyao??

Hebu jiulize kama a continent lazima iwe surrounded na water mbona European continent haiko surrounded na water?? Uko brainwashed...na hujui..
Mkuu unatuchanganya sasa, yani wewe kutwa ni kupinga yaliyoandikwa kisa waandishi ni wazungu afu wewe nukuu zako zote unazitoa kwa hao hao wazungu.

Ebu tuletee sorce ata mbili ambazo unaziamini ambazo hazijatokana na hao wazungu
 
Naleta source za wazungu waliokataa kusambaza uongo...sasa kama source ni za wazungu huoni tayari Una haki ya Ku doubt kila wanachokwambia na uanze kutumia akili zaidi na kufanya tafiti?
 
Back
Top Bottom