Cleopatra aliutumia vizuri uanauke wake ku seduce Julius Caesar ili awe salama kwenye utawala wake maana misri ilikuja kuwa colony la Roma na pia alimtumia Caesar kuwadhibiti dadake Asinoe na kakake Ptolemy, so Caesar alitakwa na k, Hadi Cleopatra aimzalia Julius Caesar mtoto mwanaume aliyeitwa Ptolemy caesarion, later Julius Caesar baada ya kufa akaanza kutoka na marc Antony aliyekuwa mmoja wamajemedari aliyekuwa akiwakilisha Egpty Hadi Cyprus baada ya kunogewa na penzi la Cleopatra na kupata matwins, pia ili Rome isipoteze ndio Augustus alipoivamia Egpty na kutokea vita na kuiteka ndipo Cleopatra na marc Antony kufa