Wamisri wachukia dhana kwamba Malkia Cleopatra II alikuwa ni mwafrika mweusi

Wamisri wachukia dhana kwamba Malkia Cleopatra II alikuwa ni mwafrika mweusi

Umewahi kikisoma kwanza hicho kitabu ? Nimekwambia kina Chain inafika mpaka kwa Mtume, halafu unauliza kwamba utakiaminije ? Au hujui nini maana ya chain ?

Kwani ukiambiwa zaidi ya miaka mia, hiyo 230 na ziada siyo zaidi ya miaka 100 ? Kijana mbona unakuwa Mjinga kiasi hicho ?
Hizo chain tuziaminije kama zimeandikwa miaka 200 baadaye? Zina ushahidi wowote maana siwezi kuamini hiko kitabu kilichoandikwa miaka 200 baadae.
 
Hizo chain tuziaminije kama zimeandikwa miaka 200 baadaye? Zina ushahidi wowote maana siwezi kuamini hiko kitabu kilichoandikwa miaka 200 baadae.
Siku nyingine usiwe unabisha mambo usiyo yajua.

Kwa ufupi na kwa faida ya wengine. Iko hivi, chain ni mlolongo wa walio pokea habari Fulani mpaka kufika kwa mtu wa mwanzo aliyepokea hiyo habari na huyo mtu wa mwanzo lazima awe amemuona aliyesema hiyo habari.

Wasomi baada ya kupokea habari na habari au Elimu hurithishwa vizazi baada ya vizazi, tofauti ni namna gani unaihifadhi hiyo Elimu au habari.

Wale wapokezi wote historia zao zimekusanywa na kuandika, endapo mpokezi akiwa hajulikani habari yako inapungua uzito wa kuwa ni ya kweli.

Shahidi zako nyingi mno.

Mfano labda ni kuulize swali, kipi kinachokufanya wewe uamini ya kuwa Isaac Newton aliwahi kuishi hapa duniani ? Je ulimuona je unayo chain inayofika mpaka kwa Isaac Newton ?

Hitimisho ni kuwa, laiti kama kanuni za uchambuzi wa Hadithi za Mtume zenu ngetumika katika dini au au kuhakiko historia basi hakuna kitabu hata kimoja kingekidhi sifa ya ukweli zaidi ya Qur'aan na Hadithi za Mtume pekee.
 
We ulishawahi kumuona???mbona unaongea kama una uhakika sana...yawezekana hakuwa mweusi au alikuwa mweusi
 
We ulishawahi kumuona???mbona unaongea kama una uhakika sana...yawezekana hakuwa mweusi au alikuwa mweusi
Wewe hydrogen molecules ulishawi kuiona??
Mtu aliyepita shule hawezi ku-argue kama ulivyofanya
 
Juzi hapa Netflix waliachia Trailer la series inayohusu maisha ya Malkia Cleopatra wa misri wa Misri. Baada ya trailer hilo watu(ambao sio Negro/Weusi) wameponda sana kumuweka/kumuonyesha Cleopatra alikua mweusi.
Wanasema hawataitazma kwakua haikisi ukweli kwamba Cleopatra alikua mweusi.

👉Kuna watu weusi wengine wamekua wakijibizana na wazungu kwamba ni Racist.
Najua na humu JF mnaweza kuwaponda wazungu lakini kiukweli wapo sahihi, Cleopatra hakua mweusi.

Baada ya Alexander the Great kufariki miaka kadhaa mbele (Mwaka 305BC) Moja kati ya majenerali waliokua nae huko mirsi alibadirisha mfumo wa utawala wa Misri akaibadiri misri kua Ufalme wa Plotemy (Plotemaic Dynasty) Waliweka sheria kua wafalme wanatakiwa kujifunza mila na desturi za nyumbani kwao Ugiriki (Makedonia) ili kutimiza hilo walioana wao kwa wao yaani kaka anamuoa dada au shangazi na ndugu wengine na walikua hawaruhusu kujifunza lugha wala tamaduni za wamisri.

Mwaka 69BC huko Alexandria Misri, Cleopatra Anazaliwa

Cleopatra alikua anatoka kwenye huo ukoo wa Plotemy ila alikua anapenda kujifunza vitu na kua na watu hivyo yeye ndio akawa wa kwanza kujifunza lugha na tamaduni za kimisri. Kwakua Cleopatra alikua anajua na alizifuata mila na desturi za misri ndio maana wengi hua wanadhani kua cleopatra alikua Mmisri mweusi, ila kiukweli alikua mweupe pee! Mgiriki.
Inasemekana Cleopatra alikua anaongea lugha zaid ya 12.

View attachment 2587740
[Soma zaidi hapa...]
Naona hadi kuna wakili wa egypt kaifungulia netflix mashitaka
 
Mfululizo wa drama za Netflix unaomwonyesha Malkia Cleopatra VII kama Mwafrika mweusi umezua mijadala nchini Misri. Mwanasheria amewasilisha malalamiko yanayowashutumu African Queens: Malkia Cleopatra kwa kukiuka sheria za vyombo vya habari na kulenga "kufuta utambulisho wa Misri".

Mwanaakiolojia mkuu alisisitiza kuwa Cleopatra alikuwa "mwepesi wa ngozi, sio mweusi". Lakini mtayarishaji huyo alisema "urithi wake unajadiliwa sana" na mwigizaji anayecheza naye aliwaambia wakosoaji: "Ikiwa hupendi kuigiza, usitazame show."

----
Patra.jpg


African Queens: Queen Cleopatra features British actress Adele James as the Egyptian ruler

A Netflix docudrama series that depicts Queen Cleopatra VII as a black African has sparked controversy in Egypt.

A lawyer has filed a complaint that accuses African Queens: Queen Cleopatra of violating media laws and aiming to "erase the Egyptian identity".

A top archaeologist insisted Cleopatra was "light-skinned, not black".

But the producer said "her heritage is highly debated" and the actress playing her told critics: "If you don't like the casting, don't watch the show."

Adele James made the comment in a Twitter post featuring screengrabs of abusive comments that included racist slurs.

Cleopatra was born in the Egyptian city of Alexandria in 69 BC and became the last queen of a Greek-speaking dynasty founded by Alexander the Great's Macedonian general Ptolemy.

She succeeded her father Ptolemy XII in 51 BC and ruled until her death in 30 BC. Afterwards, Egypt fell under Roman domination.

The identity of Cleopatra's mother is not known, and historians say it is possible that she, or any other female ancestor, was an indigenous Egyptian or from elsewhere in Africa.

Netflix's companion website Tudum reported in February that the choice to cast Adele James, a British actress who is of mixed race, as Cleopatra in its new documentary series was "a nod to the centuries-long conversation about the ruler's race".

Jada Pinkett Smith, the American actress who was executive producer and narrator, was meanwhile quoted as saying: "We don't often get to see or hear stories about black queens, and that was really important for me, as well as for my daughter, and just for my community to be able to know those stories because there are tons of them!"

But when the trailer was released last week many Egyptians condemned the depiction of Cleopatra.

This YouTube post cannot be displayed in your browser. Please enable Javascript or try a different browser.View original video on YouTube

The BBC is not responsible for the content of external sites. YouTube content may contain adverts.

Skip youtube video by Netflix

Allow YouTube content?

This article contains content provided by Google YouTube. We ask for your permission before anything is loaded, as they may be using cookies and other technologies. You may want to read Google’s cookie policy, external and privacy policy, external before accepting. To view this content choose ‘accept and continue’.

The BBC is not responsible for the content of external sites. YouTube content may contain adverts.

line

Zahi Hawass, a prominent Egyptologist and former antiquities minister, told the al-Masry al-Youm newspaper: "This is completely fake. Cleopatra was Greek, meaning that she was light-skinned, not black."

Mr Hawass said the only rulers of Egypt known to have been black were the Kushite kings of the 25th Dynasty (747-656 BC).

"Netflix is trying to provoke confusion by spreading false and deceptive facts that the origin of the Egyptian civilisation is black," he added and called on Egyptians to take a stand against the streaming giant.

On Sunday, lawyer Mahmoud al-Semary filed a complaint with the public prosecutor demanding that he take "the necessary legal measures" and block access to Netflix's services in Egypt.

He alleged that the series included visual material and content that violated Egypt's media laws and accused Netflix of trying to "promote the Afrocentric thinking... which includes slogans and writings aimed at distorting and erasing the Egyptian identity".

Three years ago, plans for a movie about Cleopatra starring the Israeli actress Gal Gadot triggered a heated debate on social media, with some people insisting that the role should instead go to an Arab or African actress.

Gadot subsequently defended the casting decision, saying: "We were looking for a Macedonian actress that could fit Cleopatra. She wasn't there, and I was very passionate about Cleopatra."

Source: BBC
 
... awe mweusi au mweupe inawapunguzia au kuwaongezea nini hao wamisri wanaolalamika? Hao walalamishi si weupe? Haitatokea wawe weusi (wanaoulalamikia) inatosha!
 
Hao unaowaona wapo misri sasa wametokea Ulaya..
Tunawaita waarabu Kwa sababu dini Yao ni waislam na wanaongea Arabic language na culture baada ya Ottoman empire kutawala hapo na dini ya Kiislam kuwa dini ya Taifa maeneo hayo ila hao asili Yao ni Macedonia,Greece na meditaranean Europe .... Actually North Africa yote Haina waarabu....wazungu wanafanya ujanja wa Ku preach uongo mda mrefu Sana Hadi watu tuanawaamini

Wamorocco na wahispania...same same tofauti ni dini Tu

Tunisia na Italians same same tofauti Dini... majority ya Egyptians WA sasa walitoka Greece na Macedonia

Wale ma farao wazamani waliojenga pyramids walikuwa Nubians ambao sasa Wengi wapo Sudan

Zamani Egypt ya Sasa na Sudan zilikuwa nchi moja, history imekuwa edited Sana nna thread humu inaitwa Moors watu weusi waliotawala Ulaya.

Watu weusi sio Tu walitawala Egypt lakini Hadi Ulaya walitawala...hata nchi kama Sweden na Denmark zinaficha history ya "blacks Vikings"...waliowaokoa na kuanzisha mataifa Yao .walikuwa weusi. Europe yote ilikuwa na watu weusi tena watawala na wapiganaji vita. History imechafuliwa Sana hata Leo ukiambiwa unaona kama ndo uongo

Ivi badae ilikuwaje mpaka sasa Nyeusi ikawa Nyeupe tukatawaliwa wakati tulikuwa watawala
 
Ivi badae ilikuwaje mpaka sasa Nyeusi ikawa Nyeupe tukatawaliwa wakati tulikuwa watawala
Wagiriki na warumi walitawala dunia kwa karne kadhaa. Imekuaje siku hizi wanatawaliwa na wamarekani??

Ukijibu hili basi utakua umepata jibu lako
 
Na tunahitaji pia Yesu mweusi,,,mitume weusi,,,malaika weusi,,na wawe pia amevaa mavazi meusi!!nafikiri hakuna shida katika hilo!!!
 
Na tunahitaji pia Yesu mweusi,,,mitume weusi,,,malaika weusi,,na wawe pia amevaa mavazi meusi!!nafikiri hakuna shida katika hilo!!!
Ikitokea malaika mweusi mwenye nguo nyeusi akatokea kanisani lazima watu wakimbie wakijua ni shetani. Ni fact hiyo
 
Back
Top Bottom