MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Cleopatra wa Manzese kw mkata vimeo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo chain tuziaminije kama zimeandikwa miaka 200 baadaye? Zina ushahidi wowote maana siwezi kuamini hiko kitabu kilichoandikwa miaka 200 baadae.Umewahi kikisoma kwanza hicho kitabu ? Nimekwambia kina Chain inafika mpaka kwa Mtume, halafu unauliza kwamba utakiaminije ? Au hujui nini maana ya chain ?
Kwani ukiambiwa zaidi ya miaka mia, hiyo 230 na ziada siyo zaidi ya miaka 100 ? Kijana mbona unakuwa Mjinga kiasi hicho ?
Siku nyingine usiwe unabisha mambo usiyo yajua.Hizo chain tuziaminije kama zimeandikwa miaka 200 baadaye? Zina ushahidi wowote maana siwezi kuamini hiko kitabu kilichoandikwa miaka 200 baadae.
Opinions differ, my lord🤗Wewe hydrogen molecules ulishawi kuiona??
Mtu aliyepita shule hawezi ku-argue kama ulivyofanya
Naona hadi kuna wakili wa egypt kaifungulia netflix mashitakaJuzi hapa Netflix waliachia Trailer la series inayohusu maisha ya Malkia Cleopatra wa misri wa Misri. Baada ya trailer hilo watu(ambao sio Negro/Weusi) wameponda sana kumuweka/kumuonyesha Cleopatra alikua mweusi.
Wanasema hawataitazma kwakua haikisi ukweli kwamba Cleopatra alikua mweusi.
👉Kuna watu weusi wengine wamekua wakijibizana na wazungu kwamba ni Racist.
Najua na humu JF mnaweza kuwaponda wazungu lakini kiukweli wapo sahihi, Cleopatra hakua mweusi.
Baada ya Alexander the Great kufariki miaka kadhaa mbele (Mwaka 305BC) Moja kati ya majenerali waliokua nae huko mirsi alibadirisha mfumo wa utawala wa Misri akaibadiri misri kua Ufalme wa Plotemy (Plotemaic Dynasty) Waliweka sheria kua wafalme wanatakiwa kujifunza mila na desturi za nyumbani kwao Ugiriki (Makedonia) ili kutimiza hilo walioana wao kwa wao yaani kaka anamuoa dada au shangazi na ndugu wengine na walikua hawaruhusu kujifunza lugha wala tamaduni za wamisri.
Mwaka 69BC huko Alexandria Misri, Cleopatra Anazaliwa
Cleopatra alikua anatoka kwenye huo ukoo wa Plotemy ila alikua anapenda kujifunza vitu na kua na watu hivyo yeye ndio akawa wa kwanza kujifunza lugha na tamaduni za kimisri. Kwakua Cleopatra alikua anajua na alizifuata mila na desturi za misri ndio maana wengi hua wanadhani kua cleopatra alikua Mmisri mweusi, ila kiukweli alikua mweupe pee! Mgiriki.
Inasemekana Cleopatra alikua anaongea lugha zaid ya 12.
View attachment 2587740
[Soma zaidi hapa...]
Jinsi mapenzi yalivyofanya ufalme wa Egypt/Mizraim kuanguka na kusambaratika
Hello... Previous I wrote a topic centered on Greece and we discussed a bit about Egypt, So this Topic will be serving as a spin-off of that Topic. Will focus on Rise and fall of Egypt , Pharaoh's Dynasty Respectively Baada ya gharika iliyoikumba dunia wakati wa Noah (Nuhu) watoto wake wakaanza...www.jamiiforums.com
Aisee![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo wao wanataka muvi za shetani ndio mweusi, mtu mwema akiwa mweusi hawakubali
Ila hapa poa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe si unamuona Idd Amin jeusi muislamu mwenzako yani afadhali ya shetani mwenyewe.
Hao unaowaona wapo misri sasa wametokea Ulaya..
Tunawaita waarabu Kwa sababu dini Yao ni waislam na wanaongea Arabic language na culture baada ya Ottoman empire kutawala hapo na dini ya Kiislam kuwa dini ya Taifa maeneo hayo ila hao asili Yao ni Macedonia,Greece na meditaranean Europe .... Actually North Africa yote Haina waarabu....wazungu wanafanya ujanja wa Ku preach uongo mda mrefu Sana Hadi watu tuanawaamini
Wamorocco na wahispania...same same tofauti ni dini Tu
Tunisia na Italians same same tofauti Dini... majority ya Egyptians WA sasa walitoka Greece na Macedonia
Wale ma farao wazamani waliojenga pyramids walikuwa Nubians ambao sasa Wengi wapo Sudan
Zamani Egypt ya Sasa na Sudan zilikuwa nchi moja, history imekuwa edited Sana nna thread humu inaitwa Moors watu weusi waliotawala Ulaya.
Watu weusi sio Tu walitawala Egypt lakini Hadi Ulaya walitawala...hata nchi kama Sweden na Denmark zinaficha history ya "blacks Vikings"...waliowaokoa na kuanzisha mataifa Yao .walikuwa weusi. Europe yote ilikuwa na watu weusi tena watawala na wapiganaji vita. History imechafuliwa Sana hata Leo ukiambiwa unaona kama ndo uongo
Wagiriki na warumi walitawala dunia kwa karne kadhaa. Imekuaje siku hizi wanatawaliwa na wamarekani??Ivi badae ilikuwaje mpaka sasa Nyeusi ikawa Nyeupe tukatawaliwa wakati tulikuwa watawala
Wewe kafiriIla hapa poa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2593841
Sparring au RandoriSorry naomba unitafutie ukiwa na muda. Situmii Insta sina App!
Natamani nilijue hilo...Nahofia isiwe walikua wanafanya Sparing tu huko San Francisco wakazusha kua ni mwalimu wake
Ikitokea malaika mweusi mwenye nguo nyeusi akatokea kanisani lazima watu wakimbie wakijua ni shetani. Ni fact hiyoNa tunahitaji pia Yesu mweusi,,,mitume weusi,,,malaika weusi,,na wawe pia amevaa mavazi meusi!!nafikiri hakuna shida katika hilo!!!