Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

•MAENDELEO ni MAFANIKIO
Jambo ambalo mtu anapambana ayafikie.

•Hamu na shauku ikoje ya kupata maendeleo?
Harakati zote za mwanadamu kuwa na maisha mazuri na wakati mwingine tumeyatafsiri mtu akipata chakula cha kutosha,chombo cha usafiri(baiskeli,Pikipiki,gari n.k), nyumba nzuri n.k ndiyo maendeleo.

•Hakuna mtu ambaye hataki maendeleo maishani

•Kupitia mtu/kaya ndiyo tunapata Jamii, Sasa tunatarajia kuangalia uhitaji/mahitaji ya kijamii.

•Mahitaji ya jamii yanaletwa na nani ?
-Hapa kielelezo ni kiongozi/serikali katika kuleta Maendeleo kwa Jamii. Mfano tunatarajia kuona upatikanaji wa MAJI SAFI NA SALAMA, BARABARA, HOSPITALI/ZAHANATI, UMEME n.k na baadae tutaona watu wanakuja kuleta maduka ya vyakula,vinywaji,nguo na n.k ndipo unaanza kuona sasa sehemu hiyo imechangamka na watu wanakimbilia kuishi hapo.

•Mara zote kiongozi katika Jamii anaweza kuwa kichochoe kikubwa vya kuleta/kudumaza maendeleo. Kama kiongozi akiwa na SHAUKU/NJAA na USHAWISHI wa kuleta maendeleo, Jamii hiyo itakuwa na Maendeleo.

•Kati ya njia nzuri ya kuleta Maendeleo tembelea/kaa na Jamii na waeleze kuona umuhimu wa kushirikiana katika kuleta Mafanikio.

•Mfano DC Jokate Mwegelo alikuwa Mkuu wa Wilaya Kisarawe,na tumesikia na tumeona juhudu na kauli mbiu zake kuishirikisha Jamii yake kuleta Maendeleo, na asilimia kubwa alishiriki shuguli za kuleta Maendeleo kuanzia kwenye mashule(#tokomeza zerokisarawe) maji,umeme na barabara tena kaifanya kisarawe ijulikane na kupata wageni kwajili ya utalii Pugu Hill,Misitu,kumbukumbu za zamani zilizopo kisarawe(kuingiza kipato)n.k kwani aliona tatizo liko wapi na anzie wapi ili jamii iweze kujipatia Maendeleo chanya.

•MAENDELEO KATIKA JAMII YAMAWEZEKANA kwa njia ipi? Tungekuwa na mfumo wa kutokuamishwa kwa kiongozi kwenda kufanyakazi sehemu nyingine ili kuyakilisha maono yake sehemu ambako hajamalizia na mbinu zake aendelee kuleta Maendeleo kwenye jamii hiyo kwa upana zaidi.

Mfano nikuletee kiongozi mmoja wapo wa wanaofanya vizuri katika kuleta mafanikio/mahali nanapofanyiakazi au kusimamia na siyo mwingine ni Mwanadada na Mweshimiwa DC Jokate Mwegelo


View attachment 1855714

Amekuwa chachu katika Jamii aliyokuwa anaisimamia kama kiongozi na endapo angepandishwa cheo akawa Mkuu wa Mkoa wa Pwani kwa jinsi alivyo nakiu nashahuku na njaa ya Maendeleo Mkoa mzima ungekuwa na sura nyingine ya kimaendeleo.

• Kama Ushauri huu utafanyiwa kazi na mamlaka husika(Serikali) KUTOKUHAMISHA VIONGOZI ILA KUWAPANDISHA NGAZI MKUU WA WILAYA - MKUU WA MKOA ANAPOFANYIA KAZI.

"Jamii ya Kitanzania kupata Maendeleo chanya inawezekana"
Dogo unaongelea maendeleo gani,,
Au unajifunza kuandika insha
 
Unajuwa katika masuala ya maendeleo kuna uwanja mpana sana. Mfano tunapozungumzia maendeleo kila MTU anayahitaji Hata nikianza na wewe Mwenyewe unayahitaji na kuangaika ili ufanikiwe. Kwa hiyo maendeleo tunaanza kuyaona kwa MTU mmoja mmoja/kaya alafu tunapandangazi kiujumla sasa kuangalia maendeleo katika JAMII yetu sasa hapa tunazungumzia mkusanyko wa wati wengi na majitaji yake.
Dogo sisi jamii zetu wengine tumeendelea kabla ya Uhuru, we umetoka porini umejua maendeleo juzi unapinga makelele humu
 
Jifunze Kiswahili sanifu kwanza:

"uwalisia" = Uhalisia
"utajuwa"=Utajua


Tufuatilie wapi wakati hakuna huo usenge uliobuni kichwani mwako binafsi?

How do we believe some people's illusions in their personal heads?

Lete research uliyofanya ukapata hizo numbers,mengine tuachie!
Kwenye kiswahili hapo yupo sahahihi yeye ametumia lahaja ya Kimtang'ata na wewe umetumia lahaja ya Shungwaya na Shupate wote mko vizur nawapongezeni
 
Hakuna mtu ataliliwa na jamii kama Magu
Tena kilio na msiba wa magu bado kwa kuwa siku zinavyo kwenda ndiyo watz wataanza kumlilia sana kuliko siku ya msiba hata walio shangilia kifo chake wataanza kujutia very very soon
 
Back
Top Bottom