Uchaguzi 2020 Wana ACT-Wazalendo wamuandikia Barua Msajili wa Vyama vya Siasa kumwambia Maalim na Zitto wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo

Ccm walitegemea cdm watampokea Membe, au kuungana na ACT yake ili wamtumie. Ila sasa hivi wanamtumia kutaka kumtoa Seif kwenye reli.
Mtasema mengi...oktoba 28 inakaribia upinzani uzikwe forever??
 
UJINGA NI WA ZITO.
hata Kama alikuwa anamuunga mkono lisu.
Kulikuwa na haja gani kutangaza hadharani?.
Wakati huo huo na yeye amemsimamisha mgombea wa urais kwenye chama chake ambaye ni membe..
Chadema ni watu wa ajabu Sana.
Kipindi kile zito walikuita msaliti.
Lakini leo katangaza kumuunga mkono lisu
Wanamuita SHUJAA.
Sawa Zito na maalim watavuliwa uanachama,

Na Membe hawez kuendesha Hiko chama cha ACT that's means chama kinakufa

Habari inaisha

Chama Hai cha upinzani kinabakia chadema tu
 
Sasa CCM ndio waliotunga katiba ya ACT? Waliovunja katiba ya chama chao NI ccm? Na waliotoa mashitaka wametumia vifungu vya katiba ya ccm au katiba ya inchi? Sasa ccm inaingiaje HAPA? Wakati akina zito na malimu seifu wanavunja katiba ya chama chao walisimamiwa na ccm? Makosa mkosee nyie halafu alaumiwe ccm, hivi kwa nini?
 
HAYA SASA NGOMA INOGILE. WANG'OKE HARAKA SAANA. WANASHINDA MITANDAONI NA KWENYE MAJUKWAA KUDAI UTAWALA WA KUFUATA KATIBA, KUMBE WAO WAVUNJIFU WA KATIBA NAMBA MOJA. WAONDOKE HARAKA SAANA.
Moja ya sifa kubwa ya CCM ni kuwa na wanachama wajinga kama wewe
 
Hizi ndo zile dk 89 alizosema Membe atafunga gori akitokea benchi?
ACT walifanya makosa makubwa sana kumkaribisha Membe ukisoma tu hiyo barua unaona kabisa kuna mkono wa ccm,msajili na Membe hao wanaolalamika wametumika tu
Zitto aliingia mkataba na shetani, na mara nyingi shetani hukupa kwa mkono wa kulia na kuchukua zaidi ya alichokupa kwa mkono wa kushoto. Membe amefanya ACT kionekane chama cha ovyo
 
Aibu ya CCM mwaka huu ni kama kumshika makalio mwanamke wakati ameweka masponji!!

Hoja, hii barua ya wanachama 2 inamtaarifu msajili wa vyama kuwa wamewafukuza uanachama Maalim S na Zk? Au wanawachongea Maalim S na Zt kwa msajili wa vyama?
 
Kumbuka hata Seif ni mhamiaji
Membe sio mpinzani bali ni mzee muhuni toka ccm, kaenda ACT hana hata mwezi kapewa nafasi ya kugombea urais. Kama ni demokrasia yeye hakustahili kuipata nafasi.
 
Aibu ya CCM mwaka huu ni kama kumshika makalio mwanamke wakati ameweka masponji!!

Hoja, hii barua ya wanachama 2 inamtaarifu msajili wa vyama kuwa wamewafukuza uanachama Maalim S na Zk? Au wanawachongea Maalim S na Zt kwa msajili wa vyama?
Huu upumbavu muuachage jamen..
ACT wavunje katiba, kisha wanachama wao wakihoji uilaumu ccm?

Ndio maana Mbowe alibadili hadi kipengele cha ukomo wa mwenyekiti na bado mkaendelea kushangilia kumbe watu wenyewe ni wajinga namna hii!?

Hii tabia ya wapinzani kuwa na migogoro inayoletwa na ujinga wao kisha kuilamu ccm, ni ujinga ndio maana wanachi wataendelea kuwaweka benchi.
 
... hiyo barua imeandikwa na Ofisi ya Msajili halafu wakaitwa; wakakutana Lumumba; wakawekwa sawa/lipwa; kisha wakasainishwa; halafu Msajili akaondoka nayo! In short hawajui wafanyalo.
Kwanini Magufuli anahangaika hivi?
Yaani CCM ipeleke bidhaa mbovu sokoni halafu bidhaa hiyo ianze kuzichukia bidhaa nyingine zilizo bora zaidi yake?
 
Msajili anaandika barua, anaita wanachama njaa wanapewa hela wanatia signature.
Athubutu kumuengua maalim aone kama ataendelea kula ugali
 
Ukiusoma huu uzi utagundua kuwa ma kijani yalijipanga yakanunuliwa MB ili yaje yahalalishe uzwazwa wao. Chakubanga, relax!
 
Hoja hujibiwa kwa hoja, katiba yao wenyewe wanaivunja ila watu wanakuja na kauli za kuilaumu ccm.
 
ACT Wazalendo hawana mgombea halali, ni vyema watangaze kujitoa kwenye ushindani maana wamepoteza uhalali wa kuwa wagombea.
 
Njia pekee ya kupima werevu wa mwanasiasa nikupitia ushawishi wake kwa wapiga kura kinyume na hapo ni kupigania tumbo na kucheza na amani ya Nchi yetu.

CCM imepoteza mwelekeo, hii ni dalili kuu ambayo haijawahi kutokea, CCM haijali tena kuhusu amani ya Nchi bali kutawala kwa mabuvu na njia za kihuni ndio kilichobakia.

Kila kukicha kuelekea Uchaguzi Mkuu ambao sio Huru na wa Haki lakini bado inashindwa nmana ya kubaki kutawala, CCM imekwisha, pamoja na vituo hewa bado CCM inatamani mgombea wao kupita bila kupingwa basi CCM imepoteza mwelekeo rasmi kama Chama Cha Siasa na sasa Ni Utawala wa Mabuvu rasmi, ila hautadumu na hawa wanaofanya hivi watashughulikiwa tu iwe iwavyo, sheria wamezitunga kwa ajili ya kukandamiza ila Ni muda mfupi sana zitakuja kuwarudia.

CCM isitegemee vyombo vya dola vitaibakisha madarakani, ijifunze kupitia Nchi zingine, Membe hana akili, akili pekee ni kuwa na ushawishi kwa wapiga kura njia zingine ni uhuni tu ambao na wenyewe mwisho umewadia na atajibu endapo machafuko yatatokea kwa muda muafaka.

CCM inafikiri shida ipo kwa MAALIM SEIF SHARIF hapana shida ipo kwa Wananchi.

CCM kwisha, wananchi wakikukataa hakuna tena namna.
 

Uwez kujua waligundua nn huko ndani ya vikao vyao

Tusiwape lawama tu, au tusijione sisi wa nje tunaakili nyingi kuliko wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…