Uchaguzi 2020 Wana ACT-Wazalendo wamuandikia Barua Msajili wa Vyama vya Siasa kumwambia Maalim na Zitto wamepoteza sifa za kuwa wanachama wa ACT-Wazalendo

Hawa wanachama wanajitambua. Sio kama hawa wengine mazwazwa yanayopelekeshwa na kibaraka wa mabeberu yanayoshindwa kuhoji hata mambo madogo tu ambayo kila kukicha viongozi wao wanayaropoka kinyume na katiba ya chama chao na kinyume na katiba ya nchi.
Hawajitambui chochote wangejitambua wangewaongeza kwenye listi yao yule mzee wa kiraracha pamoja na yule wa mapesa japo naye kwa sasa mmmmm bac tu
 
hayo sasa ni matokeo sisi tunaangalia PIFIRAC hapa kesi hio ngumu mim kama lawyer siwez kuichukua labda wawe na katiba mbili mbili

Hakuna ugumu wowote,
Msajili wa vyama hawez kumvua mtu uanachama wake

Kwani Membe alivuliwa na Mutungi?
So Hata Hao waliotumwa nao hawawez kufanikisha hiyo plan yao
 
Kwani hujasoma katiba ya ACT wazalendo? Zitto mjanja kamwingiza Maalim Seif chaka kwa sababu katiba katunga yeye halafu ni mamluki kamtuma Maalim avunje katiba ili ajivue uanachama aindolewe kagombea.
Kuweni makini na Zitto.
Nashangaa watu wanamlaumu Membe wakati tatizo ni umamluki wa Zito.
Chadema wanaomuamini Zito imekulakwao, huyu jamaa anawaumiza na ataendelea kuwaumiza.
haya yotemyanayotokea sana ni mpango madhubuti wa Zito na bado kuna mengimengine zaidi yanakuja.
 
Inashangaza sana!
 
Ajabu kabisa!
 
Wapumbavu kweli

Wakati watu wanaunda chama wao walikuwa wapi?

Wapuuzi wakubwa Sana watu wamekipigania chama from the scratch leo mnaleta upuuzi wenu baada ya kununuliwa na CCM.
Kwani ukikiunda Chama na kukisimamia ktk kukijenga, hiyo ndiyo ticket ya kukivunjia Katiba yake??
 
Ingekuwa heri kwao kama wangekuwa wasikivu na kujifunza
 
Hapo kabla hata ya Membe hajaja ACT ila ajabu analaumiwa Membe.
 
Hakuna shaka lolote kuwa hii barua imeandikwa na ofisi ya msajili yenyewe.
Suppose imeandikwa kweli na msajili kama unavyojiridhisha. Je, "ni uongo" kwamba Katiba yao imevunjwa na hao Viongozi wao?? Maana msirusherushe shutuma tu na ukweli mkauacha
 
Hapo kabla hata ya Membe hajaja ACT ila ajabu analaumiwa Membe.View attachment 1610340

I think baada ya kusikia haya kutoka kwa vyanzo vya uhakika ndio wakaamua kumtema

ACT kama chama hakina shida kabisa but Membe ndio amekuja kuchanganya vitu
 

Attachments

  • 2599799-abcd0d8eb330385ac92abe85cdeefa2c.mp4
    9.7 MB
Kama utani tu, unashangaa mtu mzima kalambishwa mchanga!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wamedanganya kwa sababu, kumuunga mkono Lissu, kuliamuliwa ndani ya vikao halali vya chama.
 
Wamedanganya kwa sababu, kumuunga mkono Lissu, kuliamuliwa ndani ya vikao halali vya chama.
LETA HATA HIYO REPORT UNAYOITA YA VIKAO HALALI
Kumbuka kwa mujibu wa Katiba ya ACT mkutano mkuu kumpitisha Membe ulifanyika na utakutana Baada ya miezi 60

Leta hayo maazimio yenu

5.3 Ndugu Msajili, maamuzi ya ushirikiano na vyama vingine vya siasa ikiwa ni pamoja na kuunganisha Chama kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo ni moja ya maamuzi muhimu ambao lazima ufanywe na Mkutano Mkuu wa Taifa na chombo hicho hakiwezi kukasimisha madaraka hayo kwa chombo kingine bila kufuata utaratibu uliwekwa na Katiba yetu.

5.4 Ndugu Msajili, kwa mujibu wa Ibara ya 18(i) ya Katiba ya ACT Wazalendo Kamati ya Uongozi ya kila ngazi au Kamati Kuu Taifa zinaweza kukasimu baadhi ya madaraka kwa Sekretarieti yake kwa azimio la wingi wa kura za wajumbe wa kikao. Mkutano Mkuu unaweza kukasimu kwa Halmashauri Kuu baadhi ya madaraka yake, lakini kwa azimio maalumu kwa ajili hiyo. Lazima kuwe na Azimio Maalum.
 
Maazimio yapo, nayalifanyika kuleta humu simahala pake. Lakini tambua vikao halali ndio viliamua, na Membe nahao vibaraka wake wanajua.

Nani anavua uanachama wa mtu?. Msajili au chama husika?.
 
I think baada ya kusikia haya kutoka kwa vyanzo vya uhakika ndio wakaamua kumtema

ACT kama chama hakina shida kabisa but Membe ndio amekuja kuchanganya vitu
Mkuu chama chenyewe Lissu alishasema kuwa sio chama cha upinzani bali kinatumika na serikali ya ccm hapo hata Membe hajaingia huko ACT,na pia hicho chama toka zamani kilihusishwa na Membe na JK kuwa ndio wenye hicho chama.

Sasa leo ni ujinga kuja kuona kuwa tatizo ni Membe na sio chama chenyewe.
 
Maazimio yapo, nayalifanyika kuleta humu simahala pake. Lakini tambua vikao halali ndio viliamua, na Membe nahao vibaraka wake wanajua.

Nani anavua uanachama wa mtu?. Msajili au chama husika?.
Azimio LA kumteua Membe mbona lipo humu jukwaani apeperushe bendera ya chama

Hayo maazimio yenu ya chumbani hayatambuliwi na mkutano Mkuu ambao upo kisheria na kwa mujibu WA Katiba ya ACT
Mkutano Mkuu ndio halali na hutoa maazimio huu nndio halali
Sio hayo makubaliano ya kihuni huni yanayovunja Katiba
 
Azimio LA kumteua Membe mbona lipo humu jukwaani apeperushe bendera ya chama
Hayo maazimio yenu ya chumbani mkutano Mkuu ambao upo kisheria na kwa mujibu WA Katiba ya ACT ndio halali
Sio hayo makubaliano ya kihuni huni
Nani mwenyejukumu la kumvua uanachama mwanachama?. Mbona unalukaluka tu mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…