Halafu mkiambia bila ya msaada wa polisccm nyinyi ni wepesi kuliko yale manyoya laini ya kuku, mnakataa!Vijana hawa walikuwa wamejiandaa vibaya sana kutimiza jukumu mbele yao lakini wameotea hawakujitokeza kufanya vurugu tena. Tuko hivihivi kama hivi milele.
View: https://youtu.be/FpU17Zg1DDQ?si=A7zz_xy3eZjIqzc4
Hongereni madogo na mashujaaa wetu ntaanzisha kampeni tuwatumie za supu kwa kuwaweka majambazi na vibaka wanyweee , SAFI SAFI SANAAAVijana hawa walikuwa wamejiandaa vibaya sana kutimiza jukumu mbele yao lakini wameotea hawakujitokeza kufanya vurugu tena. Tuko hivihivi kama hivi milele.
View: https://youtu.be/FpU17Zg1DDQ?si=A7zz_xy3eZjIqzc4
KODI YANGU INAWALIPA ASKARI WASHUGHULIKE NA NYIE MAJAMBAZI NIKAZE ILI NINI? ILA UKIJA KWANGU SHABA TU SIONGEAGIKwa hivyo kumbe nyie mabwabwa mnawategemea askari...hebu jaribu kukaza nnya ujaribu kubato na wanaume wenzio uone nn kitatokea!.
wakaomboleze huko Gaza, Sudani na Kongo wamekufa zaidi ya mamilioni wanakuja kuchochea kwetu walikufa kama 518 tu?
RAIS SAMIA NASHAURI KILA TAREHE 29 CCTOBER IWE SIKU YA KUPANDISHA MISHAHARA YA POLISI NA TUWAPE ZAWADI MAALUM KAMA VIWANJA MAGARI BINAFSI YA KUTEMBEA KWA WALE WOTE WALIOSHIRIKI KUZUIA UASI NA MACHAFUKO
Kila mtu apambane na taifa lake! Hata wakifa wote kila mtu anaujua uchungu anapitia kwa watu wake wa karibu!wakaomboleze huko Gaza, Sudani na Kongo wamekufa zaidi ya mamilioni wanakuja kuchochea kwetu walikufa kama 518 tu?
Nakwambia sijui huko Maria Sarungi na mange kimambi wanaishije sasahivi ? na walahi tunaanzisha mchango kwa askari waliokalisha yale majambazi chini siku ileSiku imepita
Nadhani wametia akili
Amani kwanza ili tukae chini kutafuta Haki