Akitaka hata awahamishie ikulu sisi haituhusu nenda kamuandikie barua au mfuate ukamshauri physically! Mnalipwaga vi digit vi5 ila mnhangaika na zero zenu za form four kujitunisha kupitia utawala huu! Hamtokaa mkaheshimika na raia wa nchii hii🏌🏼♂️🚮🚮🚮RAIS SAMIA NASHAURI KILA TAREHE 29 CCTOBER IWE SIKU YA KUPANDISHA MISHAHARA YA POLISI NA TUWAPE ZAWADI MAALUM KAMA VIWANJA MAGARI BINAFSI YA KUTEMBEA KWA WALE WOTE WALIOSHIRIKI KUZUIA UASI NA MACHAFUKO
sisi kama sio polisi kufanya kazi nzuri ilikuwa leo tuwe Sudan mpaka leo sudan wamekufa watu milioni 6Kil mtu apambane na taifa lake! Hata wakifa wote kila mtu anaujua uchungu anapitia kwa watu wake wa karibu!
sawa lakini kwetu hakkuwa na mauaji kulikuwa na kuzuia majambazi na waasiKil mtu apambane na taifa lake! Hata wakifa wote kila mtu anaujua uchungu anapitia kwa watu wake wa karibu!
Mnasubiri nini kwenda sudani hamna nauli ausisi kama sio polisi kufanya kazi nzuri ilikuwa leo tuwe Sudan mpaka leo sudan wamekufa watu milioni 6
Kama shehe sharif majini au?sawa lakini kwetu hakkuwa na mauaji kulikuwa na kuzuia majambazi na waasi
Vijana wazalendo kabisa wanaoiinda amani ya nchi hii! Hongera sana!Vijana hawa walikuwa wamejiandaa vibaya sana kutimiza jukumu mbele yao lakini wameotea hawakujitokeza kufanya vurugu tena. Tuko hivihivi kama hivi milele.
View: https://youtu.be/FpU17Zg1DDQ?si=A7zz_xy3eZjIqzc4
huenda wamejitathmini na kugundua kwamba, hakuna mwanausalama alie kwenye kiapo na zana nzito za kazi, anaweza kumkenulia tu mtu anaefanya ghasia au uharibifu mathalani wa kupiga wananchi waliokataa kuunga mkono ghasia hizo, kulipua vituo vya polisi, kulipua vituo vya mafuta, kuchoma makazi ya watu, kuvunja ATMs, maduka ya watu, kupora na kuiba mali na ujinga mwingine kama huo.Vijana hawa walikuwa wamejiandaa vibaya sana kutimiza jukumu mbele yao lakini wameotea hawakujitokeza kufanya vurugu tena. Tuko hivihivi kama hivi milele.
View: https://youtu.be/FpU17Zg1DDQ?si=A7zz_xy3eZjIqzc4
watu wameshajua utamu wa risasi, na wamegundua wote wanaohamasisha wapo nje na hawakanyagi huku ila wanataka sisi tuingieKANISA lilidhani lingeweza tena kuhamasisha vurugu
Limekosa uungwaji mkono limebakia kubwabwaja tuh
Amelaaniwa amtegemeaye mwanadamu mwenzake.Vijana hawa walikuwa wamejiandaa vibaya sana kutimiza jukumu mbele yao lakini wameotea hawakujitokeza kufanya vurugu tena. Tuko hivihivi kama hivi milele.
View: https://youtu.be/FpU17Zg1DDQ?si=A7zz_xy3eZjIqzc4
Bado unamtafuta baba yako katikati ya mapadre!!??KANISA KATOLIKI ni genge la Wahuni tuh
Na ndiyo maana majitu mazima yamebakia kuvaa magauni na kuishi na nyege maisha yao yote huku wakilelewa na sadaka za waumini wao
Rwandan genocide KANISA KATOLIKI lilihusika pia
Biashara ya Utumwa KANISA KATOLIKI likishiriki pia
Sio elfu 7 kwa siku. Ni elfu 7 kwa post. Ndio mana kwa siku wanapost hata 10. Ajira nzuri hiyo bwasheeWenzenu akina Abduli na Mafwele wamejaza akaunti zao ela na familia zao, nyie mpo bize kupiga mikwara mitandaoni kwa ujira wa elfu 7 kwa siku. Uchawa ni zaidi ya laana, hapo ulipo mama yako kijijini anashindia uji wa ulezi na kipande cha muhogo lakini unajiona nawewe sehemu ya serikali. Hakuna mlamba asali anayeneemeka na serikali ya CCM anayeshinda mitandaoni kwasababu yoyote. Wewe na akina Taahilaah na Lukas MuoshaMbwa ni walamba matako tu mliojichokea. Sababu mmesha left group na m.atako yanawawasha ili mkunwe inabidi muendelee kujipendekeza kwa Abduli. Ila siku sio nyingi kibao kinageuka. Hakuna marefu yasiyo na ncha.
kwani wewe na heche mnahela sawa?Wenzenu akina Abduli na Mafwele wamejaza akaunti zao ela na familia zao, nyie mpo bize kupiga mikwara mitandaoni kwa ujira wa elfu 7 kwa siku. Uchawa ni zaidi ya laana, hapo ulipo mama yako kijijini anashindia uji wa ulezi na kipande cha muhogo lakini unajiona nawewe sehemu ya serikali. Hakuna mlamba asali anayeneemeka na serikali ya CCM anayeshinda mitandaoni kwasababu yoyote. Wewe na akina Taahilaah na Lukas MuoshaMbwa ni walamba matako tu mliojichokea. Sababu mmesha left group na m.atako yanawawasha ili mkunwe inabidi muendelee kujipendekeza kwa Abduli. Ila siku sio nyingi kibao kinageuka. Hakuna marefu yasiyo na ncha.
KANISA lilidhani lingeweza tena kuhamasisha vurugu
Limekosa uungwaji mkono limebakia kubwabwaja tuh