Wana CC aliye tayari kuwa nami White Party anakaribishwaaaaaaaah!!

mipango ya kuhudhulia imeyeyuka baada ya kuletewa barua ya kuhudhulia kikao cha kamati kuu chadema tarehe 26 - 28. ningekubebaje!?. mia
 
kizuri chajiuza kibaya chajitembeza

unitueeeeeeeee nitue kabisaaaaa usinipake shombo la samaki kishanshuda kama wewe hujaitwaaaa kaaa pembeni kabla sijakushukia nyoooo mjaaluta wewee
 
amu toka na mimi pedeshee wa kizungu!!
Nitakupa mambo huwezi kusahau.

halafu wewe nampango wa kukuweka ignore list nakuangalia tu na ashuo zako huo msamaha kama unaliwa kula unenepe
inshort sina time na wewe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…