1) uraisi wa Jamhuri ya wapi?Jamani nimaamua nami kutangaza nia yangu ya kugombea uraisi!!
Mimi sijawahi kuwa kiongozi hata wa nyumba kumi. Ushauri wenu ni kitu cha muhimu. Hata hivyo sijaoa,natafuta mke atakae kuwa first lady wa Jamhuri. Nimekuwa nampigia mbizi mara nyingi mama mmoja kwa jina Mamndenyi ila nahofia barua yangu ya maombi Baba V ambaye ni mwenyekiti wetu ataipotezea kutokana na utofauti wetu wa kisiasa. Tafadhali naomba muongozo na maneno yako Baba V ni ya msingi sana.
Nawasilisha.
Napita kama vile sijui hata kusoma wala kuandika.
Penye nia pana njia, kila la kheri mkuu
Lady doctor Naona kama kuna hatari ya Bishanga kuomba msaada UN. Apate jeshi la kulinda penzi lake.Yaani kuzunguka kote huko unamtaka bibie Mamndenyi loh!
Lady doctor Naona kama kuna hatari ya Bishanga kuomba msaada UN. Apate jeshi la kulinda penzi lake.
nifundishe basBasi tu we sema ulichomokaga kwenye verse zangu..ninge ku treat namna yakumshauri mtu...
nifundishe bas
Namtaka kwa namna yeyote Mamndeny hayo mengine ni mbwembe ila ni siri yako.
Lady doctor Naona kama kuna hatari ya Bishanga kuomba msaada UN. Apate jeshi la kulinda penzi lake.