Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Nakuambia nimejaribu kurusha jiwe kwa mbali kupitia mwenye kiti sijaona response nzuri, nikaona nitangaze nia ya kugombea uraisi hapo samaki ataingia kwenye ndoana mwenyewe.
Hahahaha...masharti mengine yatanishinda loools!!Njoo kesho jioni...
Kwenye penzi haitaji jeshi huyo wake zake ni waaminifu sana, kasoro mmoja tu kisikatishe kidume chenye hela mbele yake lazima ambebe... Ila Mamndenyi hadanganyiki kwa hela wala vito vya thamani