Wana CCM kataeni UHUNI uliofanyika Dodoma

Siasa za CHADEMA na minyukano hujaimaliza umehamia mambo ya CCM wakati Mbowe na Lisu na kambi zao kutwa kucha kuchambana. Hebu tuhangaike na ya kwetu
 
Reactions: Tui
Utakuja kufika wakati hili suala litapigiwa kelele sana. Ni nani alitegemea kusikia yote yanayosemwa na CDM juu ya Mbowe hii leo?

Ni kiasi cha muda tu, litakuja kuibuliwa na kila mmoja atakiri namna alivyolipokea.
Hayo yatasemwa baada ya raisi kutoka madarakani, sio sasa. Hapo ndio naposhangaa unafki wa wabongo. Hili nina uhakika wanaccm watalisema huko mbeleni na pengine kumtukana huyu aliyepo sasa kuwa waliburuzwa
 
Kama wewe siyo mwana CCM, NINI KINAKUUMA? Nilitarajia haya yasemwe na kuamuliwa na wana CCM wenyewe
Tumewasikia wanaccm wengi wakitoa maoni yao kwenye sakata la wagombea uenyekiti wa CHADEMA wenye akili wamekaa kimya hawahoji
 
Hawa wahuni hawatawali Wana CCM tuu. Lazima ituume sisi tusio wana CCM maana watatutawala sote.
Tatizo yanayofanywa kichama, sisi tusio wanachama tutabaki kulalama tu, hatuna namna ya kuathiri maamuzi.
 
CCM achana nao ni chama cha wahuni, demokrasia IPO chadema tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…