Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
and that what they didIf you want to manipulate(fool) people, sometimes wait until they are together in large numbers and in a particular mood.
Ruzuku ni kodi za wananchi,ana haki ya kuhojiCCM ya kwao. Wao wameamua. Wewe inakuhusu nini.
Hayo yatasemwa baada ya raisi kutoka madarakani, sio sasa. Hapo ndio naposhangaa unafki wa wabongo. Hili nina uhakika wanaccm watalisema huko mbeleni na pengine kumtukana huyu aliyepo sasa kuwa waliburuzwaUtakuja kufika wakati hili suala litapigiwa kelele sana. Ni nani alitegemea kusikia yote yanayosemwa na CDM juu ya Mbowe hii leo?
Ni kiasi cha muda tu, litakuja kuibuliwa na kila mmoja atakiri namna alivyolipokea.
Hawa wahuni hawatawali Wana CCM tuu. Lazima ituume sisi tusio wana CCM maana watatutawala sote.Kama wewe siyo mwana CCM, NINI KINAKUUMA? Nilitarajia haya yasemwe na kuamuliwa na wana CCM wenyewe
Usijitoe ufahamu, afadhali nyumbu Chadema wao hawatawali nchi yote, ila nyumbu CCM wanatawala hata wasio nyumbu.Hao ndo NYUMBU sasa.....
Tumewasikia wanaccm wengi wakitoa maoni yao kwenye sakata la wagombea uenyekiti wa CHADEMA wenye akili wamekaa kimya hawahojiKama wewe siyo mwana CCM, NINI KINAKUUMA? Nilitarajia haya yasemwe na kuamuliwa na wana CCM wenyewe
Tatizo yanayofanywa kichama, sisi tusio wanachama tutabaki kulalama tu, hatuna namna ya kuathiri maamuzi.Hawa wahuni hawatawali Wana CCM tuu. Lazima ituume sisi tusio wana CCM maana watatutawala sote.
Lakini haizuii watu kutoa maoni. Hata mchakato ungekua wa cuf watu wangetoa maoni, hata wa chadema unahusu chadema lakini ccm nao wanautolea maoni na kuchagua timu kabisaTatizo yanayofanywa kichama, sisi tusio wanachama tutabaki kulalama tu, hatuna namna ya kuathiri maamuzi.
CCM achana nao ni chama cha wahuni, demokrasia IPO chadema tuKwenu wana CCM mnaojitambua, wenye mapenzi mema na chama na mustakbali mwema wa nchi hii.
Hicho mlichofanyiwa Dodoma ni uhuni mtupu, hakipo ndani ya kanuni, taratibu wala culture ya chama.
Inakuwaje mnakubali genge dogo la watu wachache wanakaa chemba ili waje wawastukize kwa jambo nyeti kama hilo la kupata mgombea wa nafasi za Urais wa JMT na ZNZ?.
Kwa nini mgeuke rubber stamp tu ya maamuzi ya genge dogo lililokwepa taratibu za chama zilizozoeka?
Hebu jiulizeni, huyo anayekwepa mchakato wa kawaida wa kugombea anaogopa nini, kawakosea nini wana CCM hadi aruke vikao vya maamuzi vya chama kama mwanga arukavyo kwenye ungo?.
Ndugu wana CCM, mkikubaliana na uhuni huu maanq yake mnatengeneza precedence ya UHUNI mkubwa zaidi kufanyika ndani ya chama.
Aliyewahi kuwa katibu mkuu mwenezi wa CCM bwana Polepole amewahi kusema kuwa ndani ya CCM kuna WAHUNI na bila shaka mmethibitisha wenye hili jambo kwa UHUNI usio na chembe ya haya wala aibu, kwa kuletewa mgombea kwa mlango wa nyuma bila ngazi tofauti za chama na taratibu zake kufuatwa.
Najua bado mna hyesteria ya mkutano, wengine posho zimewatia upofu, Pengine mastarehe ya muda mfupi yaendayo na mkutano bado mna hangover nayo. Lakini Jiulizeni hiki kilichofanyika ni sawasawa.
Hebu simameni sasa muanze kukataa uhuni huu wa watu wachache kupika mambo sirini halafu wanakuja kuwastukiza kama mmekamatwa ugoni vile.
Msikubali kuwa pawns au kete za kutumika tu katika hii chess ya mustakbali wa chama na nchi. Anzeni kuonyesha hisia zenu waziwazi.
Hii siyo CCM ya Nyerere, hii ni CCM ya kihuni.