Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #21
Hiyo Bajeti inaweza kuwa ni sawa maana wengine hapa tulishaachana na mambo ya bajeti, lakini kwenye mbolea bado ipo 100k+ kutoka kwenye around 50k.
Hizo nguzo ulizotaja sio chochote bila kutaja katiba hii ya chama kimoja ambayo mnahaha kuibadili na polisi.
Nyie na propaganda zenu uchwara ndiyo mnawaletea watu matatizo ....!!Ndugu zangu Wana CCM lazima Tufahamu kuwa Nguvu ya CCM na Wanaccm imekuwa Ni katika umoja wetu, Ushirikiano Wetu,mshikamano wetu ,upendo miongoni mwetu, UZALENDO wetu kwa chama na serikali yetu, misimamo yetu, kutanguliza mbele maslahi ya chama na serikali yetu, Sera na ajenda zetu pamoja na kuwa na Dira na muelekeo unaoeleweka na kuwa vutia watanzania katika kutuunga mkono na kutuchagua kila ufikapo uchaguzi wa aina yoyote Ile unapoitishwa na kufanyika
Nguzo hizi hatupaswi kuziacha, Wala kuzisahau,Wala kuzitupa,Wala kuhisi zimepitwa na wakati, Ni nguzo zilizotufikisha hapa Tulipo, Ni nguzo zilizokishikiria chama chetu, Ni nguzo zilizotufanya kuaminika kwa watanzania, kupigiwa kura kila uchaguzi, kupigania chama katika uchaguzi na kukilinda chama chetu kwa Hali na Mali, Ni nguzo zilizofanya maadui wa ndani na nje ya chama kukosa upenyo wa kukivuruga na kukisambalatisha chama chetu, Ni nguzo Zinazofanya chama hiki kionekane bado ni kijana kila siku, Ni nguzo zinazoongeza wanachama wapya kila siku,
Ni nguzo Zinazofanya kadi za CCM zitafutwe Kama Dhahabu katika ofisi zake na Ni nguzo ambazo zimekifanya CCM kuwa Tumaini la watanzania wa matabaka na Rika zote hapa nchini na zaidi Ni kuwa Ni nguzo Zinazofanya mwanachama akihama Leo CCM lazima kesho Arudi ndani ya CCM na kujutia uamuzi wake wa kukihama chama, mwisho ni kuwa hizi Ni nguzo Zinazofanya chama hiki kuwa kikubwa kuliko mtu binafsi na maslahi yake, Hakuna mkubwa ndani ya CCM, Kama huamini Hama leo CCM uone Kama kitayumba au kuyumbishwa
Hivyo lazima Tuendelee kuwa wamoja na kushikamana, Tusichonganishwe na mtu wa aina yoyote yule kwa misingi ya udini, ukabila, ukanda,jinsia Wala Hadhi, Tuseme na Tufahamu kuwa wote Ni sawa na tuna haki sawa ndani ya CCM, wote Tukipiganie na Tukilinde chama chetu kwa nguvu zetu zote, Hakuna mpinzani atakaye tulindia chama chetu Wala kutujengea chama chetu, Hakuna mpinzani anayependa kuona tukiwa wamoja, wapinzani wanatamani tusambalatike hata leo tu, Tusiwape upenyo huo
Tusiwape Siri zetu, Tusiwape mipango Wala mikakati yetu, Tusiwaonyeshe njia zetu.
Tumpe ushirikiano wakutosha Mwenyekiti wetu Mama Samia, Tumtetee kwa nguvu zetu zote popote tulipo, Tuwajibu wapinzani wetu kwa hoja nzito nzito, Tumbebe Samia wetu katika mikono yetu, na migongo yetu, Tusikubali ashambuliwe na wapinzani wetu,
Tufahamu akishambuliwa yeye Ni sawa na kwamba tumevamiwa sote, siasa Ni hoja na Ni sayansi, lazima Tuwe watu wa hoja muda wote zidi ya wapinzani wetu,CCM Ni moja, Wana CCM Ni wamoja na chama ni kimoja Tu CHAMA CHA MAPINDUZI, Tusiumizane, tusipaniane.
Tusiwekeane mitego wenyewe kwa wenyewe Wala Tusichukiane wenyewe kwa wenyewe, Wala Tusiangushane wenyewe kwa wenyewe kwa kumnufaisha mpinzani wetu
Kazi iendeleee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge
LUCAS Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Sawa haina shida kikubwa naongea ukweli wenye kujengaChawa at work!
Muache mh Jerry Mulo achape kazi ya kulitumikia Taifa letuUnaiwinda nafasi ya Jerry Muro siyo Kwa debe hili! Ccm Mna uzalendo Gani zaidi ya kuifisidi nchi na kuwaibia wananchi Kwa njia ya tozo na kuhamasisha uvunjivu wa amani?
Kwani hapo wapi panapoonyesha CCM inaiba kura katika picha hiyo?CCM hii hii inayoiba kura na kulindwa na polisi ili ishinde uchaguzi?View attachment 2383064
Unakuta huyu wa hovyo anapenya kuwa mkuu wa mkoa ndo kina makonda hawaNdugu zangu Wana CCM lazima Tufahamu kuwa Nguvu ya CCM na Wanaccm imekuwa Ni katika umoja wetu, Ushirikiano Wetu,mshikamano wetu ,upendo miongoni mwetu, UZALENDO wetu kwa chama na serikali yetu, misimamo yetu, kutanguliza mbele maslahi ya chama na serikali yetu, Sera na ajenda zetu pamoja na kuwa na Dira na muelekeo unaoeleweka na kuwa vutia watanzania katika kutuunga mkono na kutuchagua kila ufikapo uchaguzi wa aina yoyote Ile unapoitishwa na kufanyika
Nguzo hizi hatupaswi kuziacha, Wala kuzisahau,Wala kuzitupa,Wala kuhisi zimepitwa na wakati, Ni nguzo zilizotufikisha hapa Tulipo, Ni nguzo zilizokishikiria chama chetu, Ni nguzo zilizotufanya kuaminika kwa watanzania, kupigiwa kura kila uchaguzi, kupigania chama katika uchaguzi na kukilinda chama chetu kwa Hali na Mali, Ni nguzo zilizofanya maadui wa ndani na nje ya chama kukosa upenyo wa kukivuruga na kukisambalatisha chama chetu, Ni nguzo Zinazofanya chama hiki kionekane bado ni kijana kila siku, Ni nguzo zinazoongeza wanachama wapya kila siku,
Ni nguzo Zinazofanya kadi za CCM zitafutwe Kama Dhahabu katika ofisi zake na Ni nguzo ambazo zimekifanya CCM kuwa Tumaini la watanzania wa matabaka na Rika zote hapa nchini na zaidi Ni kuwa Ni nguzo Zinazofanya mwanachama akihama Leo CCM lazima kesho Arudi ndani ya CCM na kujutia uamuzi wake wa kukihama chama, mwisho ni kuwa hizi Ni nguzo Zinazofanya chama hiki kuwa kikubwa kuliko mtu binafsi na maslahi yake, Hakuna mkubwa ndani ya CCM, Kama huamini Hama leo CCM uone Kama kitayumba au kuyumbishwa
Hivyo lazima Tuendelee kuwa wamoja na kushikamana, Tusichonganishwe na mtu wa aina yoyote yule kwa misingi ya udini, ukabila, ukanda,jinsia Wala Hadhi, Tuseme na Tufahamu kuwa wote Ni sawa na tuna haki sawa ndani ya CCM, wote Tukipiganie na Tukilinde chama chetu kwa nguvu zetu zote, Hakuna mpinzani atakaye tulindia chama chetu Wala kutujengea chama chetu, Hakuna mpinzani anayependa kuona tukiwa wamoja, wapinzani wanatamani tusambalatike hata leo tu, Tusiwape upenyo huo
Tusiwape Siri zetu, Tusiwape mipango Wala mikakati yetu, Tusiwaonyeshe njia zetu.
Tumpe ushirikiano wakutosha Mwenyekiti wetu Mama Samia, Tumtetee kwa nguvu zetu zote popote tulipo, Tuwajibu wapinzani wetu kwa hoja nzito nzito, Tumbebe Samia wetu katika mikono yetu, na migongo yetu, Tusikubali ashambuliwe na wapinzani wetu,
Tufahamu akishambuliwa yeye Ni sawa na kwamba tumevamiwa sote, siasa Ni hoja na Ni sayansi, lazima Tuwe watu wa hoja muda wote zidi ya wapinzani wetu,CCM Ni moja, Wana CCM Ni wamoja na chama ni kimoja Tu CHAMA CHA MAPINDUZI, Tusiumizane, tusipaniane.
Tusiwekeane mitego wenyewe kwa wenyewe Wala Tusichukiane wenyewe kwa wenyewe, Wala Tusiangushane wenyewe kwa wenyewe kwa kumnufaisha mpinzani wetu
Kazi iendeleee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge
LUCAS Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
Wewe utakuwa unaishi kwa shemeji ambako ukiamka unakuta kila kitu mezani. Hujui bei ya vyakula, gharama za nishati nk.Kwani wewe huoni juhudi za mh Rais katika kuijenga nchi hii na kuinua uchumi wa mwananchi mmoja mmoja
Kwani umezuiliwa na Nani kwenda shambani? Acha nasi wakulima tufaidike na jasho letu maana miaka yote tulikuwa tunapata hasara huku nyinyi mkilakimvulini kwa kutupangia Bei mtakayo bila kujuwa gharama kubwa tuliyokuwa tunatumia katika kilimoWewe utakuwa unaishi kwa shemeji ambako ukiamka unakuta kila kitu mezani. Hujui bei ya vyakula, gharama za nishati nk.
Maisha kwa sasa ni magumu zaidi ya wakati mwingine wowote labda 1974 wakati wa baa la ukame na 1980/82 baada ya vita ya Kagera.
Ushauri, kabla ya kuandika haya uwe unamuuliza anaye kuhudumia hali ikoje?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo unataka CCM kisiwe na umoja mshikamano na upendo? Au unatakaje?Unakuta huyu wa hovyo anapenya kuwa mkuu wa mkoa ndo kina makonda hawa
Yaliyotokea October 2020 kupotea internet siku 5 huyajui au ulikua hujaja kwenye sehemu yenye access ya internet?Kwani hapo wapi panapoonyesha CCM inaiba kura katika picha hiyo?
Wewe nakujua sio mwana ccm kabisa.ni vijana mnaomdharau mama samia kwa kumtangaza mkikaa na rafiki zako pale b bar sinza kuwa ukimsifia sana au ukiongelea vibaya wapinzani anatoa vyeo. Mnashindwa kujiajiri mnaanza kungangania kugombanisha viongozi wa ccm na wapinzani mpendeleweKwa hiyo unataka CCM kisiwe na umoja mshikamano na upendo? Au unatakaje?
Hoja haipo kwenye suala la internet bali katika makaratasi hayo aliyoyashika mwanachama wenu Halima mdeeYaliyotokea October 2020 kupotea internet siku 5 huyajui au ulikua hujaja kwenye sehemu yenye access ya internet?
Kweli wewe una matatizo makubwa, Mimi na bar wapi na wapi? Unajuwa niliko? Unajuwa mkoa niliopo? Unajuwa wilaya niliyopo? Unanifahamu Mimi? Umewahi niona wapi? Unazani wote Ni walevi wa kushinda bar Kama wewe? Acha kuongea ongea vitu kwa kubahatisha bahatisha tu mradi uonekane umeandika na weweWewe nakujua sio mwana ccm kabisa.ni vijana mnaomdharau mama samia kwa kumtangaza mkikaa na rafiki zako pale b bar sinza kuwa ukimsifia sana au ukiongelea vibaya wapinzani anatoa vyeo. Mnashindwa kujiajiri mnaanza kungangania kugombanisha viongozi wa ccm na wapinzani mpendelewe
Hoja haipo kwenye suala la internet bali katika makaratasi hayo aliyoyashika mwanachama wenu Halima mdee
Uchawa wa kugombanisha mama na wapinzani Achaa,hizo zilikuwa zama zenu na magu nendeni mkalime hatuwateui ngooo kwa kusifusifu .K
Kweli wewe una matatizo makubwa, Mimi na bar wapi na wapi? Unajuwa niliko? Unajuwa mkoa niliopo? Unajuwa wilaya niliyopo? Unanifahamu Mimi? Umewahi niona wapi? Unazani wote Ni walevi wa kushinda bar Kama wewe? Acha kuongea ongea vitu kwa kubahatisha bahatisha tu mradi uonekane umeandika na wewe