SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
Tukikubali tulikosea tunajianika wenyewe. Tuendelee kuitetea na kuenzi fikra sahihi za Mwenyekitikama mbwai na iwe mbwai au sio😆😆😆
Kama ukikosea kanuni na taratibu za kuvaa nguo lazima uvue uvae vizuri kabla ya aibu!1. Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite.
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa
Taratibu za Kula pilau mkazifuate huko CHAUMWAKama ukikosea kanuni na taratibu za kuvaa nguo lazima uvue uvae vizuri kabla ya aibu!
Ukikosea kula chakula matokeo yake yapo wazi!
Kila kosa LAZIMA liadhibiwe!
Fuateni Katiba, sheria, kanuni na taratibu! Fulu stopu! 🛑
LAZIMA muadhibiwe!Taratibu za Kula pilau mkazifuate huko CHAUMWA
Nitasema ukweli daima, fitina kwangu ni mwiko - Ahadi ya wanachama.1. Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite.
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa
Wew mbona umezaliwa nje ya ndoa na bado umekubaliwa kwa wajomba?Kwakweli mnatia aibu kukanyaga katiba yenu wenyewe!!
Tarehe 23, April haukuwa na akili wala mawazo hayo.1. Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite.
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa.
Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
NRNE1. Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite.
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa.
Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
Mlishaamia kujigeuza bubu na viziwi,ila mvuvi wa pweza ameamua kuwachokonoa kutoka mapangoni mwenu hivyo mtake msitake mapangoni mtatoka ama muwe kitoweo. Mawili kati ya hayo.1. Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite.
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa.
Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
Hahahaha😂😂😂😂1. Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite.
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa.
Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
Jibu hoja, usimjibu mtu.Wew mbona umezaliwa nje ya ndoa na bado umekubaliwa kwa wajomba?