Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,768
- 172,128
"Katiba ni kakitabu"Kwakweli mnatia aibu kukanyaga katiba yenu wenyewe!!
"Katiba ni kakitabu"Kwakweli mnatia aibu kukanyaga katiba yenu wenyewe!!
Hakika kwa kauli hiyo lazima ingekanyagwa tu."Katiba ni kakitabu"
😁😁😁😁😁 Mwamba unanichekesha asubuhi hii.Taratibu za Kula pilau mkazifuate huko CHAUMWA
Kitanda hakizai haramu tusonge mbele na tufunike kombe mwana haramu apite.Huu ni mtihani mzito saaaana kwa MSAJIRI WA VYAMA ambaye anaonekana wazi ni Double standard practicer.Mfupa mgumu mno kuung'ata huo.Ingekuwa ni CHADEMA wamefanya hivyo basi angeitisha mpaka na waandishi wa Habari kuichambua katiba ya chama.
Acha kutetea mambo ya kihuni. Utaratibu wa wagombea kuchukua fomu, ufuatwe. Na kama mgombea hana uwezo aachwe.Tukikubali tulikosea tunajianika wenyewe. Tuendelee kuitetea na kuenzi fikra sahihi za Mwenyekiti
Oktoba tunatikiDuuh naumia sana
Kwanza ni nani mwenye ubavu wa kutamka mchakato urudiwe huko Chamani ???!1. Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite.
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa.
Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
Mkishavimbiwa mnaanza kutapika yote hii ni sababu ya kuita Katiba kuwa ni makaratasi tu.1. Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite.
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa.
Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
Msajili wa Vyama ni Chawa promax wa ccmHuu ni mtihani mzito saaaana kwa MSAJIRI WA VYAMA ambaye anaonekana wazi ni Double standard practicer.Mfupa mgumu mno kuung'ata huo.Ingekuwa ni CHADEMA wamefanya hivyo basi angeitisha mpaka na waandishi wa Habari kuichambua katiba ya chama.
ahahhhahahahhhahahaa nimecheka1. Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite.
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa.
Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
Upinzan gani? CHAUMWA?Hapo mshayakanyaga
++Kurudia upya ni aibu ambayo itarudisha imani kwa wananchi
++Kukaza shingo ni kuwapa upinzani nguvu zaidi
Sasa twende pande zipi Auto-Marvelt ?Hapo mshayakanyaga
++Kurudia upya ni aibu ambayo itarudisha imani kwa wananchi
++Kukaza shingo ni kuwapa upinzani nguvu zaidi
Huo unaoogopa kuutajaUpinzan gani? CHAUMWA?
Maku1. Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite.
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa.
Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza