SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,814
- Thread starter
- #41
CUF?Huo unaoogopa kuutaja
CUF?Huo unaoogopa kuutaja
Mwambie. Na msajili wa vyama ili awasaidie1. Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite.
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa.
Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
"Rais huwa hakosei" kuna mtu aliwahi kusema hivyo.Bora umekiri mlikosea wenzako bado hawajaona kosa liko wapi....
Kwa kuwa yeye ni MUNGU mtu..."Rais huwa hakosei" kuna mtu aliwahi kusema hivyo.
TLPCUF?
Shobo hutaki au hujui kuchanganua mambo? Umevi,wa akili kwa fhiriba na uongo wa ccmShobo hatutaki
1 Ni ukweli tulikiuka katiba yetu wenyewe kwenye kuteua Mgombea wetu pale Dodoma. Ila tujikaushe tu hili nalo lipite
2. Tukisema tunarudia mchakato aisee Itakua aibu Sana. Natanguliza shukrani. Insha'Allah mambo yatakaa sawa.
Msajili punguza ujuaji kwenye hili. Utauponza
Kama nguvu moya ya wanamtadao na chawa zao.Nguvu moja