Hatuta jibu kwa matusi Wala kejeli tutajibu kwa kuwaambia watu ukweli kwasabu mambo ambayo Chama Cha Mapinduzi imeshafanya yanaonekana Ni swala la kuwambia tu wananch. kwa mfano ujenz wa daraja la busisi si hata ww unaona, ujenz wa reli ya kisasa si hata ww unaona watu wamepata ajira..etcMtajibu kwa matusi, dharau na kejeli? Au mtajibu hoja kwa hoja?
Je, hayo majibu mtapewa na nani ikiwa viongozi wenu tu hawana??
Hapana wananchi ndo wanaotupa Kura hatupiti kwa mgongo wa mtu, WANANCHI hufanya tathimin na kuona ccm ndicho chama Cha kuwapa maendeleo...daima tutachagua kaziHahahaha Magufuli wa kuwapitisha bila kupingwa hayupo tena enyi wana CCM. Demokrasia ndio hofu yenu kubwa sasa naona shindano imeanza kupenya vizuri. Na bado!
Hiyo posho lazima itakuwa na miongozo kuwa yupi atastahili posho na yupi hata stahili posho kwa kazi ipi na kazi ipi haitahitaji posho..kwa mfano upimaji wa ardhi na uwekaji wa bicon etcSisi ni wageni nchi hii? Posho inaendaje kujenga zahanati? Kwa bajeti gani?
Husika na kichwa Cha habari hapo juu....sisi makada wa Chama Cha Mapinduzi, uzarendo wetu kwenye chama chetu Ni kujibu hoja za wapinzani na kuujuza Umma wa Watanzania juu ya Mambo ambayo yamefanywa/Yanafanywa na chama chetu Cha CCM. Tujivunie uwazi uliopo ndani ya chama chetu Cha CCM na mafanikio tuliyoyafikia, Kuna vyama toka 1992 mpaka Leo vimekuwa vikipokea fedha kutoka kwa wafadhri, Ruzuku na kuchangisha watu michango lakini bado Kuna giza nene juu ya matumizi ya fedha hzo wengine hata ofs hawana, kwahyo sisi Kama makada na walinzi wa Chama Cha Mapinduzi lazima tuwatahadharishe wananchi wasiingie mkenge tunashukru kuona umma unajua tayari, hz barabara, disp. Hosp za rufaa kila mkoa, CT scan kila mkoa, madaraja, Elimu bure, mikopo vyuo vikuu, vivuko, nk. Ni sera ya Chama Cha Mapinduzi.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Bora hata hayo maendeleo tunayaona na yamesaidia Sana kuongeza life expectancy ya Watu...mkuu Kuna vyama vinamiliki magari tu hakuna chamaana chochote wanachomiliki hawana legacy yyte Ile. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZIHiki chama bado kinaishi katka ujima utazani wapo dunia Yao neno maendeleo wao Ni kuleta maji na kujenga zahanati
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
😄😄😄 Hapana syo Mimi comradeWewe si ulikimbia jf , ile hela uliyokuwa unadai umelipwa ile ya posho ?
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Kila mtu atashugulikiwa kwa nafasi yake na haki itatendeka bila kumuonea mtu hyo ndo Raha ya chama chenye haki na usawa...mpaka wa confirm makosa ya mtu naye aone ni kweli ndipo Sheria inachukua mkondo wakeGusia chama chetu kilivyo shughulikia report ya CAG
Hapana mkuu sipotoshi, Mambo yaliyofanywa na Chama Cha Mapinduzi yapo wazi Sana
Nilipoona umeandika "uzarendo" badala ya uzalendo nimeku identify mara moja wewe ni nani!Husika na kichwa Cha habari hapo juu....sisi makada wa Chama Cha Mapinduzi, uzarendo wetu kwenye chama chetu Ni kujibu hoja za wapinzani na kuujuza Umma wa Watanzania juu ya Mambo ambayo yamefanywa/Yanafanywa na chama chetu Cha CCM. Tujivunie uwazi uliopo ndani ya chama chetu Cha CCM na mafanikio tuliyoyafikia, Kuna vyama toka 1992 mpaka Leo vimekuwa vikipokea fedha kutoka kwa wafadhri, Ruzuku na kuchangisha watu michango lakini bado Kuna giza nene juu ya matumizi ya fedha hzo wengine hata ofs hawana, kwahyo sisi Kama makada na walinzi wa Chama Cha Mapinduzi lazima tuwatahadharishe wananchi wasiingie mkenge tunashukru kuona umma unajua tayari, hz barabara, disp. Hosp za rufaa kila mkoa, CT scan kila mkoa, madaraja, Elimu bure, mikopo vyuo vikuu, vivuko, nk. Ni sera ya Chama Cha Mapinduzi.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.
Ndio maana hiyo kesi imechukua muda mrefu kisa kuna kitu na viongozi wake? Kwahiyo unataka uje na wanaccm wenzako humu kisha utetezi wako ndio huu wa kiwango cha chini hivi?!Ila hii kesi ukimsikiliza mdee Kuna kitu pale na viongozi wake wa chama anyway ngoja tuwe na subra
Yaani hujui ukisemachoHiyo posho lazima itakuwa na miongozo kuwa yupi atastahili posho na yupi hata stahili posho kwa kazi ipi na kazi ipi haitahitaji posho..kwa mfano upimaji wa ardhi na uwekaji wa bicon etc
Muda ni jambo la muhimu, kama ya urais hapo Kenya imeisha, nini kinaendelea kwenye hizi mahakama zenye uwezo duni hapa kwetu? Si bure wawekezaji wanatumia mahakama za nje maana wanajua upuuzi ulioko hapa. Halafu ww ndio unasema uchaguzi ukiharibiwa wapinzani waende mahakamani!Hapana hapo nimegusia kidogo tu tuiachie mahakama
Ilipo R na L ni mbali sana. Usijali lakini, twende kazi.Hiyo ni writing error tu mkuu. Ok thank you