Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Sawa Kwa sababu nipo out ngoja niongeze juhudi Kwa akili ya 2025 LAZIMA kieleweke tuNi ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa. Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi.
Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani maana tunaenda kuliwa. Bora ikifika 2025 taifa lipate ukombozi.
... tunakopa pesa kulipa mikopo mzee! Mingi imewiva hakuna namna lazima tulipe; na hakuna namna zaidi ya kukopa kule tukalipa kwengine! Uzuri tumehakikishiwa hakuna mwananchi atakayegongewa mlango kudaiwa mkopo; serikali peke yake ndio italipa!CCM NI Chama ambacho hakina dhamira ya dhati ya kuulifanya taifa letu kuwa taifa huru kiuchumi.
Mawazo ya viongozi wa CCM na watawala wanaotokana na Chama hicho ni kufikiria namna watoto wao watakavyorithi madaraka.
Pia mawazo yao mengine NI kuhakikisha wanajilimbikizia utajiri usio elezeka.
NI aibu tunakopa na tunaona fahari kukopa mikopo isiyozalisha.
Tukiamua kukopa kwa ajili ya kuendeleza chuma cha Liganga na Mchuchuma ndipo tutakapoanza kuona Nuru kwa mbali ya kuelekea kwenye taifa huru kiuchumi.
Tanzania tunanunua kutoka nje chuma, yaani hata siindano hatuwezi kujitengenezea.
Hi ni aibu. Bolts and nuts za ujenzi wa reli ya kisasa vinatoka nje, mataruma pia yanatoka nje.
Je tungeendeleza chuma chetu wenyewe tungeokoa pesa kiasi gani?
Miradi ya ujenzi wa madaraja, ujenzi wa madaraja, na miundo mbalimbali hutegemea chuma, lakini mbaya zaidi chuma hicho tunakiaagiza nje kwa madola mengi, ambayo tungekuwa tunazalisha chuma chetu wenyewe madola hayo yangefanya kazi nyingine za kimaendeleo.
Hii nchi watoto wetu wataikomboa kwa damu... tunakopa pesa kulipa mikopo mzee! Mingi imewiva hakuna namna lazima tulipe; na hakuna namna zaidi ya kukopa kule tukalipa kwengine! Uzuri tumehakikishiwa hakuna mwananchi atakayegongewa mlango kudaiwa mkopo; serikali peke yake ndio italipa!
Wenyeviti wa mikoa na mashabiki makumi waliokuwepo makofi pwa! pwa! pwa! Tuna imani na weweeee! Oyaaaa; oyaaaa; oyaaaaa! pwa! pwa! pwa!
Sometimes ukitulia huwa unashusha nondo za uhakika sana ✌👍CCM NI Chama ambacho hakina dhamira ya dhati ya kuulifanya taifa letu kuwa taifa huru kiuchumi.
Mawazo ya viongozi wa CCM na watawala wanaotokana na Chama hicho ni kufikiria namna watoto wao watakavyorithi madaraka.
Pia mawazo yao mengine NI kuhakikisha wanajilimbikizia utajiri usio elezeka.
NI aibu tunakopa na tunaona fahari kukopa mikopo isiyozalisha.
Tukiamua kukopa kwa ajili ya kuendeleza chuma cha Liganga na Mchuchuma ndipo tutakapoanza kuona Nuru kwa mbali ya kuelekea kwenye taifa huru kiuchumi.
Tanzania tunanunua kutoka nje chuma, yaani hata siindano hatuwezi kujitengenezea.
Hi ni aibu. Bolts and nuts za ujenzi wa reli ya kisasa vinatoka nje, mataruma pia yanatoka nje.
Je tungeendeleza chuma chetu wenyewe tungeokoa pesa kiasi gani?
Miradi ya ujenzi wa madaraja, ujenzi wa madaraja, na miundo mbalimbali hutegemea chuma, lakini mbaya zaidi chuma hicho tunakiaagiza nje kwa madola mengi, ambayo tungekuwa tunazalisha chuma chetu wenyewe madola hayo yangefanya kazi nyingine za kimaendeleo.
Ccm hawana anaeuzika kwa watz kwa sasa ngoja wapumzke 2025Ni ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa.
Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi.
Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani maana tunaenda kuliwa. Bora ikifika 2025 taifa lipate ukombozi.
Utaishi kwa hofu mpaka wajukuu watakapokuwa wanakuanika kama kauzu nje.Ni ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa.
Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi.
Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani maana tunaenda kuliwa. Bora ikifika 2025 taifa lipate ukombozi.
Kwa mara ya kwanza tangu uzaliwe leo umetema madini! KongoleCCM NI Chama ambacho hakina dhamira ya dhati ya kuulifanya taifa letu kuwa taifa huru kiuchumi.
Mawazo ya viongozi wa CCM na watawala wanaotokana na Chama hicho ni kufikiria namna watoto wao watakavyorithi madaraka.
Pia mawazo yao mengine NI kuhakikisha wanajilimbikizia utajiri usio elezeka.
NI aibu tunakopa na tunaona fahari kukopa mikopo isiyozalisha.
Tukiamua kukopa kwa ajili ya kuendeleza chuma cha Liganga na Mchuchuma ndipo tutakapoanza kuona Nuru kwa mbali ya kuelekea kwenye taifa huru kiuchumi.
Tanzania tunanunua kutoka nje chuma, yaani hata siindano hatuwezi kujitengenezea.
Hi ni aibu. Bolts and nuts za ujenzi wa reli ya kisasa vinatoka nje, mataruma pia yanatoka nje.
Je tungeendeleza chuma chetu wenyewe tungeokoa pesa kiasi gani?
Miradi ya ujenzi wa madaraja, ujenzi wa madaraja, na miundo mbalimbali hutegemea chuma, lakini mbaya zaidi chuma hicho tunakiaagiza nje kwa madola mengi, ambayo tungekuwa tunazalisha chuma chetu wenyewe madola hayo yangefanya kazi nyingine za kimaendeleo.
Hoja nzuri. Ila ni vema kuangalia nje ya ccm. Wazalendo hawapatikan ccm. Wako raia wasio na vyama wenye kujitoaNi ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa.
Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi.
Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani maana tunaenda kuliwa. Bora ikifika 2025 taifa lipate ukombozi.
Hahaha hiyo pesa inatoka wapi bila sisi kuongezewa kodi?... tunakopa pesa kulipa mikopo mzee! Mingi imewiva hakuna namna lazima tulipe; na hakuna namna zaidi ya kukopa kule tukalipa kwengine! Uzuri tumehakikishiwa hakuna mwananchi atakayegongewa mlango kudaiwa mkopo; serikali peke yake ndio italipa!
Wenyeviti wa mikoa na mashabiki makumi waliokuwepo makofi pwa! pwa! pwa! Tuna imani na weweeee! Oyaaaa; oyaaaa; oyaaaaa! pwa! pwa! pwa!
Afadhali wewe ushakubali ccm waendelee 2025Ni ushauri mzuri kwa ajili ya kulikomboa taifa la Tanzania. Taifa lipo mikononi mwa watu wasiofaa kabisa.
Hakuna aliyesahau ya Escrow, kagoda Richmond na ufisadi mkubwa wa kutupa kupitia Lugumi.
Wenye nia ya kuwa marais ili walikomboe taifa lao kwa uzalendo kabisa waweke nia zao hadharani maanAa tunaenda kuliwa. Bora ikifika 2025 taifa lipate ukombozi.
... tunakopa pesa kulipa mikopo mzee! Mingi imewiva hakuna namna lazima tulipe; na hakuna namna zaidi ya kukopa kule tukalipa kwengine! Uzuri tumehakikishiwa hakuna mwananchi atakayegongewa mlango kudaiwa mkopo; serikali peke yake ndio italipa!