Wana CCM wenzangu ule Uchawa mliokuwa nao wakati wa Rais Magufuli mbona siuoni wakati huu wa Rais Samia, tatizo ni nini?

Rasterman

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
33,894
Reaction score
44,117
Sijaelewa ni kitu gani kimewatokea hawa jamaa.

Enzi za Chuma Jpm walikuwa moto sana. Kule youtube alikuwepo Cipyrian Musiba, kule Twitter ndio usisema account kama zote.

Vyama vya idara mbali mbali vya chama shamra shamra huku na kule. Pesa walikuwa wanapat wapi?

Mbona mmepoa sana wakati huu?
 
Wanachama wamepoa sana
 
Mbatizaji na wenzake waje wajibu hoja!!
 
Sasaivi zamu yako kua chawa wa mama samia!! Maana kila mtu atachagua fungu limfaalo!! Hongera na kazi njema chawaaaa!
 
Afadhali yule mtu hayupo leo, alikuwa anatupeleka ahera.
 
Mfadhili wao alidedi!
 
Sasaivi zamu yako kua chawa wa mama samia!! Maana kila mtu atachagua fungu limfaalo!! Hongera na kazi njema chawaaaa!
Asante sana kwa hiyo tunahama sote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…