Wana CHADEMA sikiliza clip hii na ifanyie kazi kuweka taswira sawa

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Note: kama huwezi kuweka maoni yako bila matusi, just skip this thread/post and forge ahead.

Niliandika hapa kuhusu character assassination tuliyoshuhudia wakati wa kampeni....... it is still lingering in the minds of rational-thinking members of society!

Najua kutakuwa na bitter and fierce reactions matusi, kejeli and the like! Let us go!
 
Attachments

Najua kutakuwa na bitter and fierce reactions......matusi,kejeli and the like! Let us go!
uyu anajiita "ABIHUDI" yupo kwenye mtandao wa "CLUB HOUSE" ana kikundi chake kinautwa "KWANINI LAKINI" anaishi nchini UINGEREZA ila anajifanya anakaa USA, kila siku saa 1:30 Usiku anafungua mijadala kumtukana TUNDU LISSU, kipindi cha kampeni za chadema alikuwa TEAM MBOWE, unategemea anawezaje kuongelea mazuri ya LISSU uyo ABIHUDI aka anajiita "Nyuro scietist", ni genge la MBOWE mabalo bado halijapona maumivu ya uchaguzi na mpaka muda huu bado hawaamini kama chama kimetoka kwenye mikono ya MBOWE.
 
uyu anajiita "ABIHUDI" yupo kwenye "CLUB HOUSE" ana kikundi chake kinautwa "KWANINI LAKINI" anaishi nchini UINGEREZA ila anajifanya anakaa USA, kila siku saa 1:30 Usiku anafungua mijadala kumtukana TUNDU LISSU, kipindi cha kampeni za chadema alikuwa TEAM MBOWE, unategemea anawezaje kuongelea mazuri ya LISSU uyo ABIHUDI aka anajiita "Nyuro scietist".
Ni mlevi halafu anajifanya hanywi pombe, huyo ni chapombe na ndiye aliyepandisha huu uzi.
 
uyu anajiita "ABIHUDI" yupo kwenye mtandao wa "CLUB HOUSE" ana kikundi chake kinautwa "KWANINI LAKINI" anaishi nchini UINGEREZA ila anajifanya anakaa USA, kila siku saa 1:30 Usiku anafungua mijadala kumtukana TUNDU LISSU, kipindi cha kampeni za chadema alikuwa TEAM MBOWE, unategemea anawezaje kuongelea mazuri ya LISSU uyo ABIHUDI aka anajiita "Nyuro scietist", ni genge la MBOWE mabalo bado halijapona maumivu ya uchaguzi na mpaka muda huu bado hawaamini kama chama kimetoka kwenye mikono ya MBOWE.
Lakini jamaa kaongea point
 
Humjui Abiudi,

Unakumbuka alikuwa anamuita Mbowe Kibaka na amelamba asali?

Na kama unamzungumzia Abiudi pekee, mbona wapo Kina Matojo hatusemi?

Muda ni hakimu wa kweli
 
Note: kama huwezi kuweka maoni yako bila matusi, just skip this thread/post and forge ahead.

Niliandika hapa kuhusu character assassination tuliyoshuhudia wakati wa kampeni....... it is still lingering in the minds of rational-thinking members of society!

Najua kutakuwa na bitter and fierce reactions matusi, kejeli and the like! Let us go!
Kwahiyo alitaka Mbowe afie madarakani?
 
Mbowe hajalalamikia character assasination ambayo huyu boya anaongelea.

Mbowe hajalalamika foul play yoyote kwenye mchakato wa uchaguzi.

Mbowa ali concede mapema hata kabla katibu mkuu hajatangaza hadharani kuwa ameshinda Lissu.

Unashangaa anatokea kibwengo mmoja anafokafoka na kutokwa povu kama ndama anayenyonya.

So brother, brace yourself. It's gonna be a bumpy ride. Lissu yupo usukani and there is nothing you can do about it.
 
Note: kama huwezi kuweka maoni yako bila matusi, just skip this thread/post and forge ahead.

Niliandika hapa kuhusu character assassination tuliyoshuhudia wakati wa kampeni....... it is still lingering in the minds of rational-thinking members of society!

Najua kutakuwa na bitter and fierce reactions matusi, kejeli and the like! Let us go!
Chawa wa watu na malengo yaleyale ,muda ni mwalimu utajisemea wenyewe hanma hata haja ya kuisemea familia yako ama hata ile ya jirani iwapo huna nia njema.
 
Lakini jamaa kaongea point
Yuko sahihi kabisa. Bila jitihada za Mbowe, Tundu Lissu angalikuwa kaburini. Jitihada za Mbowe zilimuwezesha kwenda Nairobi hadi Ubeligiji badala ya kwenda kaburini. Lissu angalikuwa siyo fool angalimuona Mbowe kama Mungu wake wa pili, hangalithubutu hata kidogo kumfanyia haya aliyomfanyia. Only a fool can do that. Siasa na matamanio ya kuwa raisi wa JMT hayapaswi kukufanya uwe a fool. He will never succeed. Ndiyo mwisho wake na mwisho wa umaarufu wa chadema.
 
Back
Top Bottom