Konda wa bajaj
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 604
- 918
Usijali maumivu yatakwisha na utaendelea kuwa mfuasi mtiifu wa chama.Lissu ni mpuuzi wa kiwango cha juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali maumivu yatakwisha na utaendelea kuwa mfuasi mtiifu wa chama.Lissu ni mpuuzi wa kiwango cha juu.
Kubali kuwa kwa sasa CDM sio saccos ya Mbowe & Co.Yuko sahihi kabisa. Bila jitihada za Mbowe, Tundu Lissu angalikuwa kaburini. Jitihada za Mbowe zilimuwezesha kwenda Nairobi hadi Ubeligiji badala ya kwenda kaburini. Lissu angalikuwa siyo fool angalimuona Mbowe kama Mungu wake wa pili, hangalithubutu hata kidogo kumfanyia haya aliyomfanyia. Only a fool can do that. Siasa na matamanio ya kuwa raisi wa JMT hayapaswi kukufanya uwe a fool. He will never succeed. Ndiyo mwisho wake na mwisho wa umaarufu wa chadema.
nadhani siasa za chuki na uhasama miongoni mwa wana chadema zitaendelea kukigawanya chama hicho kwa maneno na matendo hasa siku za uchaguzi hususani uchaguzi mkuu wa oct.2025,,Note: kama huwezi kuweka maoni yako bila matusi, just skip this thread/post and forge ahead.
Niliandika hapa kuhusu character assassination tuliyoshuhudia wakati wa kampeni....... it is still lingering in the minds of rational-thinking members of society!
Najua kutakuwa na bitter and fierce reactions matusi, kejeli and the like! Let us go!

Aya ni maccm yaliochangamkaNenda salama huko uendako, Chadema is not for fools too.
Wenye akili tulisema sema wapumbavu na washenzi huwa na kelele sana!Note: kama huwezi kuweka maoni yako bila matusi, just skip this thread/post and forge ahead.
Niliandika hapa kuhusu character assassination tuliyoshuhudia wakati wa kampeni....... it is still lingering in the minds of rational-thinking members of society!
Najua kutakuwa na bitter and fierce reactions matusi, kejeli and the like! Let us go!
Hakuna anayepinga ushindi wa huyo mhuni…. Wapumbavu huwa mnatekwa sana na kelele kuliko substance!!!
Maombi yake yatakuwa yalidunda.Mkuu ulitaka Mbowe aendelee kuongoza CHADEMA kwasababu gani? Hadi umwite Makamu mwenyekiti kama Mpuuzi
Huyu mjinga ndo anaongea nini? Hana sababu alikuwa na mapenzi na Mbowe! Mwacheni aondoke zake maana hana mchango na ana mapenzi yake binafsi!Note: kama huwezi kuweka maoni yako bila matusi, just skip this thread/post and forge ahead.
Niliandika hapa kuhusu character assassination tuliyoshuhudia wakati wa kampeni....... it is still lingering in the minds of rational-thinking members of society!
Najua kutakuwa na bitter and fierce reactions matusi, kejeli and the like! Let us go!
Sipingi ushindi wa Lissu hata kidogo.
Maneno ya kwenye kampeni bado mmeyashikilia tu ?.....ondokeni kwenye 'campaign mode ' maisha mengine yaendelee maana uchaguzi ulishakwisha.Sipingi ushindi wa Lissu hata kidogo.
Ujinga wa Lissu ni kudharau kazi kubwa na nzuri ya Mbowe.
Upuuzi wa Lissu ni kuwaaminisha watu kwamba yeye atafanya vizuri zaidi kwakuwa ana akili nyingi wenzake ni wajinga.
Upuuzi wa Lissu ni kuwasingizia viongozi wa zamani walilamba asali sasa yeye ambaye hajalamba asali hatuoni anachofanya tangu achaguliwe.
Upuuzi wa Lissu ni kufanya kampeni chafu za kuwachafua viongozi wenzake hasa Mbowe ambaye kamfanyia mambo mengi mazuri na makubwa.
"Mimi sinywi"Ni mlevi halafu anajifanya hanywi pombe, huyo ni chapombe na ndiye aliyepandisha huu uzi.
Nyie mna utoto sana maneno ya kuchafuana kiasi kile yanafutikaje?? Lissu kadharaulika mno na wenye akili zao na hatafika popote tupo hapa!!Maneno ya kwenye kampeni bado mmeyashikilia tu ?.....ondokeni kwenye 'campaign mode ' maisha mengine yaendelee maana uchaguzi ulishakwisha.
Fundi Mchundo JokaKuu
Lakini msikilize, concern yake ni campaign by character assassination. Je, was that done by Lusu, kama hakufanya, then tumpuuze, kama alifanya tafuta njia ya kufuta hayo!uyu anajiita "ABIHUDI" yupo kwenye mtandao wa "CLUB HOUSE" ana kikundi chake kinautwa "KWANINI LAKINI" anaishi nchini UINGEREZA ila anajifanya anakaa USA, kila siku saa 1:30 Usiku anafungua mijadala kumtukana TUNDU LISSU, kipindi cha kampeni za chadema alikuwa TEAM MBOWE, unategemea anawezaje kuongelea mazuri ya LISSU uyo ABIHUDI aka anajiita "Nyuro scietist", ni genge la MBOWE mabalo bado halijapona maumivu ya uchaguzi na mpaka muda huu bado hawaamini kama chama kimetoka kwenye mikono ya MBOWE.
hakuna washenzi, ni kila mtu anavyoona mwelekeo wa anachokiamini.Wenye akili tulisema sema wapumbavu na washenzi huwa na kelele sana!
Wewe wasema"Mimi sinywi"
Hivi kunywa au kutokunywa imepitishwa ndio kipimo Cha ustaraabu tz!?
Hapana, hapana ushindi ni wa haki, alishinda kwa haki....52 Vs 48! GOOD! BUT THE WAY TO THE THRONE WAS QUITE UNPLEASANT
Upuuzi wako ni kupindisha maneno ili kumpa jina baya Lissu. Kubalini matokeo uchaguzi umekwisha kazi iliyopo ni kuikabili CCM haya maombolezo yenu yanawaletea sonona bure kwani hawawezi kubadilisha matokeo sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.Sipingi ushindi wa Lissu hata kidogo.