Wana CHADEMA sikiliza clip hii na ifanyie kazi kuweka taswira sawa

Wana CHADEMA sikiliza clip hii na ifanyie kazi kuweka taswira sawa

Note: kama huwezi kuweka maoni yako bila matusi, just skip this thread/post and forge ahead.

Niliandika hapa kuhusu character assassination tuliyoshuhudia wakati wa kampeni....... it is still lingering in the minds of rational-thinking members of society!

Najua kutakuwa na bitter and fierce reactions matusi, kejeli and the like! Let us go!
Wachaga bado mnahasira tu,
 
😂😂😂 brother you better know more deep about ccm.. Uchaguzi u me is ha TAL ameshinda tumpe muda ajenge chama
 
Nyie mna utoto sana maneno ya kuchafuana kiasi kile yanafutikaje?? Lissu kadharaulika mno na wenye akili zao na hatafika popote tupo hapa!!

Binafsi nilimpenda sana lakini sahv namuona kama kinyesi!! Sikuwahi fikiri Lissu ni mshenzi kiasi kile
Kabisa
 
Sioni namna Lissu na Lema wakiileta CDM ile…. The way Samia alivyocheza hii draft kupitia msigwa nilipoambiwa before sikuamini!! Samia sasa anakwenda kulala usingizi wa pono maana hii no reform no election aliitaka sana japo akina Wasira wanaigiza kutoitaka!!

Tuna safari ndefu sana ya vyama vingi Nchi hii!
 
Yuko sahihi kabisa. Bila jitihada za Mbowe, Tundu Lissu angalikuwa kaburini. Jitihada za Mbowe zilimuwezesha kwenda Nairobi hadi Ubeligiji badala ya kwenda kaburini. Lissu angalikuwa siyo fool angalimuona Mbowe kama Mungu wake wa pili, hangalithubutu hata kidogo kumfanyia haya aliyomfanyia. Only a fool can do that. Siasa na matamanio ya kuwa raisi wa JMT hayapaswi kukufanya uwe a fool. He will never succeed. Ndiyo mwisho wake na mwisho wa umaarufu wa chadema.
Yaani binadamu umfanye mungu wako wa pili!!??
Hivi una akili timamu kweli!!??
Kuna mchungaji mmoja wa Anglican alikuwaga jirani yangu Uzunguni hapa Dodoma alikuwa anaitwa Dr. Akili, alikuwa ni hovyo kinyume na jina lake.
Hakuna Mungu wa pili.
 
Back
Top Bottom