uyu anajiita "ABIHUDI" yupo kwenye mtandao wa "CLUB HOUSE" ana kikundi chake kinautwa "KWANINI LAKINI" anaishi nchini UINGEREZA ila anajifanya anakaa USA, kila siku saa 1:30 Usiku anafungua mijadala kumtukana TUNDU LISSU, kipindi cha kampeni za chadema alikuwa TEAM MBOWE, unategemea anawezaje kuongelea mazuri ya LISSU uyo ABIHUDI aka anajiita "Nyuro scietist", ni genge la MBOWE mabalo bado halijapona maumivu ya uchaguzi na mpaka muda huu bado hawaamini kama chama kimetoka kwenye mikono ya MBOWE.Note: kama huwezi kuweka maoni yako bila matusi, just skip this thread/post and forge ahead.
Niliandika hapa kuhusu character assassination tuliyoshuhudia wakati wa kampeni....... it is still lingering in the minds of rational-thinking members of society!
Najua kutakuwa na bitter and fierce reactions......matusi,kejeli and the like! Let us go!
Ni mlevi halafu anajifanya hanywi pombe, huyo ni chapombe na ndiye aliyepandisha huu uzi.uyu anajiita "ABIHUDI" yupo kwenye "CLUB HOUSE" ana kikundi chake kinautwa "KWANINI LAKINI" anaishi nchini UINGEREZA ila anajifanya anakaa USA, kila siku saa 1:30 Usiku anafungua mijadala kumtukana TUNDU LISSU, kipindi cha kampeni za chadema alikuwa TEAM MBOWE, unategemea anawezaje kuongelea mazuri ya LISSU uyo ABIHUDI aka anajiita "Nyuro scietist".
nakubaliana na wewe chiefNi mlevi halafu anajifanya hanywi pombe, huyo ni chapombe na ndiye aliyepandisha huu uzi.
Ndiye mleta Uzi? πΌπNi mlevi halafu anajifanya hanywi pombe, huyo ni chapombe na ndiye aliyepandisha huu uzi.
Lakini jamaa kaongea pointuyu anajiita "ABIHUDI" yupo kwenye mtandao wa "CLUB HOUSE" ana kikundi chake kinautwa "KWANINI LAKINI" anaishi nchini UINGEREZA ila anajifanya anakaa USA, kila siku saa 1:30 Usiku anafungua mijadala kumtukana TUNDU LISSU, kipindi cha kampeni za chadema alikuwa TEAM MBOWE, unategemea anawezaje kuongelea mazuri ya LISSU uyo ABIHUDI aka anajiita "Nyuro scietist", ni genge la MBOWE mabalo bado halijapona maumivu ya uchaguzi na mpaka muda huu bado hawaamini kama chama kimetoka kwenye mikono ya MBOWE.
Humjui Abiudi,uyu anajiita "ABIHUDI" yupo kwenye mtandao wa "CLUB HOUSE" ana kikundi chake kinautwa "KWANINI LAKINI" anaishi nchini UINGEREZA ila anajifanya anakaa USA, kila siku saa 1:30 Usiku anafungua mijadala kumtukana TUNDU LISSU, kipindi cha kampeni za chadema alikuwa TEAM MBOWE, unategemea anawezaje kuongelea mazuri ya LISSU uyo ABIHUDI aka anajiita "Nyuro scietist", ni genge la MBOWE mabalo bado halijapona maumivu ya uchaguzi na mpaka muda huu bado hawaamini kama chama kimetoka kwenye mikono ya MBOWE.
Kwahiyo alitaka Mbowe afie madarakani?Note: kama huwezi kuweka maoni yako bila matusi, just skip this thread/post and forge ahead.
Niliandika hapa kuhusu character assassination tuliyoshuhudia wakati wa kampeni....... it is still lingering in the minds of rational-thinking members of society!
Najua kutakuwa na bitter and fierce reactions matusi, kejeli and the like! Let us go!
Mkuu ulitaka Mbowe aendelee kuongoza CHADEMA kwasababu gani? Hadi umwite Makamu mwenyekiti kama MpuuziLissu ni mpuuzi wa kiwango cha juu.
Nenda salama.Nenda salama huko uendako, Chadema is not for fools too.
Retired anasema Lissu alifanya mapinduzi. π πUchaguzi ulifanyika kidomokrasia. Ubaya wa Lissu uko wapi.
Chawa wa watu na malengo yaleyale ,muda ni mwalimu utajisemea wenyewe hanma hata haja ya kuisemea familia yako ama hata ile ya jirani iwapo huna nia njema.Note: kama huwezi kuweka maoni yako bila matusi, just skip this thread/post and forge ahead.
Niliandika hapa kuhusu character assassination tuliyoshuhudia wakati wa kampeni....... it is still lingering in the minds of rational-thinking members of society!
Najua kutakuwa na bitter and fierce reactions matusi, kejeli and the like! Let us go!
Yuko sahihi kabisa. Bila jitihada za Mbowe, Tundu Lissu angalikuwa kaburini. Jitihada za Mbowe zilimuwezesha kwenda Nairobi hadi Ubeligiji badala ya kwenda kaburini. Lissu angalikuwa siyo fool angalimuona Mbowe kama Mungu wake wa pili, hangalithubutu hata kidogo kumfanyia haya aliyomfanyia. Only a fool can do that. Siasa na matamanio ya kuwa raisi wa JMT hayapaswi kukufanya uwe a fool. He will never succeed. Ndiyo mwisho wake na mwisho wa umaarufu wa chadema.Lakini jamaa kaongea point