Wana CHADEMA tusikenue mikutano ya kisiasa haitatusaidia kisiasa. Kashfa ya kulamba asali ilishatumaliza

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Tuna nini cha kuwaambia wananchi?

~ Tunapinga ufisadi?

~ Tunapinga uharamia wa tozo?

~ Tunapinga vipi wakati tunalamba asali na wanaokandamiza wananchi?

image_search_1672991622131.jpg
 
Tuna nini cha kuwaabia wananchi?

Tunapinga ufisadi?

Tunapinga uharamia wa tozo?

Tunapinga vipi wakati tunalamba asali na wanaokandamiza wananchi?View attachment 2470665
Mkuu!
Kuna waliolamba asali bila kuwaambia wenzao!

Pia tatizo kubwa kwa sasa wapinzani wana uhaba wa watunga sera!

Wana wingi wa walalamishi.
 
Ilitakiwa haki ipatikane hata mahakama ya kimataifa na siyo kubembeleza mtu ambaye hayupo juu ya sheria kukuruhusu ufanye mikutano huku amekupa masharti ya kutomsema madhahifu yake.
 
Hiyo asali wanalamba wanaitoa wapi?. Nyie mmebakia na majungu. Kipindi CHADEMA wanpitia misukosuko mlikuwa mnashangilia , Leo wanafanya maridhiano mnaumizwa na kutunga uongo.
 
Tuna nini cha kuwaabia wananchi?

Tunapinga ufisadi?

Tunapinga uharamia wa tozo?

Tunapinga vipi wakati tunalamba asali na wanaokandamiza wananchi?View attachment 2470665
Wewe msukule wa ccm tumeamua kukudharau tu,hiyo chuki yako kwa Mbowe itakufanya uzeeke kabla ya siku zako, au ndiye alikutoa usichana wako kisha akakuacha kwenye mataa?
 
Ilitakiwa haki ipatikane hata mahakama ya kimataifa na siyo kubembeleza mtu ambaye hayupo juu ya sheria kukuruhusu ufanye mikutano huku amekupa masharti ya kutomsema madhahifu yake.

Mbona kesi ilifunguliwa hapa mahakama zikaipendelea serikali. Pia mahakama za kimataifa maamuzi yake kuyaenforce ni sawa na hakuna. Halafu huwezi kupeleka kesi huko mpaka Mahakama za ndani zote uzimalize.

Juzi CHADEMA wameshinda kesi juu ya sheria ya vyama vya siasa EACJ, lakini enforceability yake imekuwa mbovu.
 
Hiyo asali wanalamba wanaitoa wapi?. Nyie mmebakia na majungu. Kipindi CHADEMA wanpitia misukosuko mlikuwa mnashangilia , Leo wanafanya maridhiano mnaumizwa na kutunga uongo.
Maridhiano gani yanafanyika bila pesa katika dunia hii ya leo. Fanya blander barabarani halafu umtie mwenzio hasara uone kama mtamalizana biLa kuhusisha ATM.
 
ATM Tena? Kwani Chadema shida Yao ni Hela au madaraka ya kutumika wananchi? Mfano Mbowe atakosa Nini akienda CCM si atapata uwaziri na atakua tajiri je kubaki upinzani ananufaika Nini kiuchumi? Au kwanini Chadema haipokei ruzuku Hadi Leo kama shida Yao ni Hela?

Politics is about power ndio maana kina Gwajima na Tarimba ni mabilionea ila waligombea ubunge.
 
Kwahio una hakika Mbowe hachukui Ruzuku?
 
Mbona kesi ilifunguliwa hapa mahakama zikaipendelea serikali. Pia mahakama za kimataifa maamuzi yake kuyaenforce ni sawa na hakuna. Halafu huwezi kupeleka kesi huko mpaka Mahakama za ndani zote uzimalize.

Juzi CHADEMA wameshinda kesi juu ya sheria ya vyama vya siasa EACJ, lakini enforceability yake imekuwa mbovu.
Mbona kesi ilifunguliwa hapa mahakama zikaipendelea serikali. Pia mahakama za kimataifa maamuzi yake kuyaenforce ni sawa na hakuna. Halafu huwezi kupeleka kesi huko mpaka Mahakama za ndani zote uzimalize.

Juzi CHADEMA wameshinda kesi juu ya sheria ya vyama vya siasa EACJ, lakini enforceability yake imekuwa mbovu.
IMG_20230106_115014.jpg
 
Ilitakiwa haki ipatikane hata mahakama ya kimataifa na siyo kubembeleza mtu ambaye hayupo juu ya sheria kukuruhusu ufanye mikutano huku amekupa masharti ya kutomsema madhahifu yake.
Kipindi kina Lissu na Maalim Wanaenda UN na EU mlisema ni vibaraka wa wazungu.

Walipotaka kuandamana mkasema wanataka vijana wafe kwa ajili ya matumbo Yao.

Mbowe alipoanzisha mikutano kwa lazima mkampa kesi ya ugaidi na wote humu mkasema Wacha anyooshwe kwa kupimana Ubavu na Rais.

Leo wamekubaliana mezani Tena mnalalamika? Mlitaka Mbowe afanyeje? Tatizo mmeumia sana mlitamani uonevu uendelee mnufaike. Hakuna Tena mbeleko na hiyo 2025 majimbo yatakuputika hakuna wizi wa bwerere.
 
Kwahio una hakika Mbowe hachukui Ruzuku?
Chadema haichukui ruzuku ndio maana Jana kaulizwa swali je baada ya maridhiano watachukua ruzuku?

Msajili alishathibitisha kuwa Chadema wamesusa ruzuku maana hawakupeleka account number. Hivi kweli Chadema ijitoe ufahamu kwa ruzuku ya 60m? Ilihali 2015 walipokea zaidi ya 200m kwa mwezi!!
 
Kipindi kina Lissu na Maalim Wanaenda UN na EU mlisema ni vibaraka wa wazungu.

Walipotaka kuandamana mkasema wanataka vijana wafe kwa ajili ya matumbo Yao.

Mbowe alipoanzisha mikutano kwa lazima mkampa kesi ya ugaidi na wote humu mkasema Wacha anyooshwe kwa kupimana Ubavu na Rais.

Leo wamekubaliana mezani Tena mnalalamika? Mlitaka Mbowe afanyeje? Tatizo mmeumia sana mlitamani uonevu uendelee mnufaike. Hakuna Tena mbeleko na hiyo 2025 majimbo yatakuputika hakuna wizi wa bwerere.
Mkuu jaribu kusumbua akili kupitia hii puzzles kwanza
IMG_20230106_115014.jpg
 
Back
Top Bottom