Wana CHADEMA tusikenue mikutano ya kisiasa haitatusaidia kisiasa. Kashfa ya kulamba asali ilishatumaliza

Wana CHADEMA tusikenue mikutano ya kisiasa haitatusaidia kisiasa. Kashfa ya kulamba asali ilishatumaliza

Kipindi kina Lissu na Maalim Wanaenda UN na EU mlisema ni vibaraka wa wazungu.

Walipotaka kuandamana mkasema wanataka vijana wafe kwa ajili ya matumbo Yao.

Mbowe alipoanzisha mikutano kwa lazima mkampa kesi ya ugaidi na wote humu mkasema Wacha anyooshwe kwa kupimana Ubavu na Rais.

Leo wamekubaliana mezani Tena mnalalamika? Mlitaka Mbowe afanyeje? Tatizo mmeumia sana mlitamani uonevu uendelee mnufaike. Hakuna Tena mbeleko na hiyo 2025 majimbo yatakuputika hakuna wizi wa bwerere.
Pamoja na yote hayo ndio alambe asali tena peke yake bila wenzake!?
Angekuwa Mandela angeweza!?
 
Back
Top Bottom