Kipindi kina Lissu na Maalim Wanaenda UN na EU mlisema ni vibaraka wa wazungu.
Walipotaka kuandamana mkasema wanataka vijana wafe kwa ajili ya matumbo Yao.
Mbowe alipoanzisha mikutano kwa lazima mkampa kesi ya ugaidi na wote humu mkasema Wacha anyooshwe kwa kupimana Ubavu na Rais.
Leo wamekubaliana mezani Tena mnalalamika? Mlitaka Mbowe afanyeje? Tatizo mmeumia sana mlitamani uonevu uendelee mnufaike. Hakuna Tena mbeleko na hiyo 2025 majimbo yatakuputika hakuna wizi wa bwerere.