Wana Chit-Chat enzi hizooooo!!

kumbe erick52 alikuwa mbaya af mchafu afadhali hata mimi,ndio maana haachi mapouder af mtanashati sana siku hizi
 
Last edited by a moderator:
hubby punguza wivu, lol! mie wako peke yako si unajua mi na we ni mabesteeeeeeeee wa ukweeeeeeee!
Nikukute tayari basi.... red for love. Umenielewa eh? Ile safari hakikisha unaiahirisha mpaka jumapili sawa eh?

 
Aaaahaaa,ok shem wangu hapo nimekupata,lkn waziri c alisema maongez yanaendelea kwan vita imeanza?

Imeanza ya maneno, siye tunajipanga na magari y deraya na vifaru so kudinyana marufuku khaaa! Kuwa mjeda kaaz kwel kwel
 
hivi babu umeamua kuonesha utupu wangu hapa jamvini?...
aisee!wakati huo chululu ilikua ndogoo...
chezea saivi ndizi mkono wa tembo!


ila umenidhalilisha!natafuta NGO itakayonisaidia katika hili.
 
ha ha haaaaaaaaaa!yaan ww unajifanya huelewi ile kazi kubwa na nzito ya wanandoa af kile kitendo chake ishhhh!
Khaaa! Sasa kuzunguka koooote huko si ungesema tu kazi ya kuingiziana vikojoleo mpaka vimwage mkojo mzito mweupe? Mi mzee bana mafumbo siyawezagi, taarab siijui. Khaa! ummu kulthum bana dah!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha! Kwa bishanga siyo kweli ni wewe mwenyewe huyo!
Na yule si madame B ni zubedayo
 
ban inakuita vibaya ww mie sipo.lakin mod si mtu wako karibu............
Mtu wa karibu sana, ndo imekuwaje tena? Uko addicted na JF kiasi hiki? Khaaa! Nimekubamba sijakubambaaaa??



Unaona navyowakagua na kuwapa mazoezi wake zangu cacico, Yummy na BADILI TABIA chini ya usimamizi wa Kongosho? Ongea nao kama watakuruhusu uwe spare tyre pale mmoja wapo anapokuwa kasafiri kwenda angani

 
Last edited by a moderator:
halafu babu Asprini ile picha cyo ya mamy cath na dady mentor ngoja akirudi kutoka Moshi tunakufungulia kesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…