Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 269
mmh babu Asprini umenikumbusha mbali kinoma na ile album ingine iko wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naloga mtu wallah!!
![]()
Jamani wana Chit-Chat,
karibuni msosi hevi.
Mapokopoko Manjari.
Kazi nzito ya usiku? Ujambazi eh? Nshakuelewa ummu kulthum
Aaaahaaa,ok shem wangu hapo nimekupata,lkn waziri c alisema maongez yanaendelea kwan vita imeanza?
Nshakuelewa sasa. Kumbe kuangalia movie za kihindi? Kweli mi kichwa ngumu asee...
hivi babu umeamua kuonesha utupu wangu hapa jamvini?...
aisee!wakati huo chululu ilikua ndogoo...
chezea saivi ndizi mkono wa tembo!
ila umenidhalilisha!natafuta NGO itakayonisaidia katika
hili.
Khaaa! Sasa kuzunguka koooote huko si ungesema tu kazi ya kuingiziana vikojoleo mpaka vimwage mkojo mzito mweupe? Mi mzee bana mafumbo siyawezagi, taarab siijui. Khaa! ummu kulthum bana dah!ha ha haaaaaaaaaa!yaan ww unajifanya huelewi ile kazi kubwa na nzito ya wanandoa af kile kitendo chake ishhhh!
:spy::spy::spy:hivi babu umeamua kuonesha utupu wangu hapa jamvini?...
aisee!wakati huo chululu ilikua ndogoo...
chezea saivi ndizi mkono wa tembo!
ila umenidhalilisha!natafuta NGO itakayonisaidia katika hili.
Hommie unaniuza live?LHRC wako vzr
Wakulu salama....??
Jana nlikuwa shamba katika kusheherekea sikukuu yetu ile nikakutana na picha nlowapigeni enzi hizo.
![]()
Mnaviona hivyo vidume viwili ambavyo havijavaa kaptula? Wa kushoto ni BAGAH na mwingine ni Erickb52
Kisichana kilichotinga blue ndo Mamndenyi wakati cha kulia kabisa ndio ummu kulthum. Kushoto mwa Erickb52 ni KARIA nyuma yake ndo princess enny. Kidume kilicho mbele bila shati ndio Kaizer sasa. Kulia kwa Kaizer ni kilimasera na kushoto kwake ndio Madame B. Nyuma ya Madame B yuko Judgement. Hako kalikobebwa na Kongosho ndio charminglady. Anayechungulia kwa nyuma kabisa ni HYGEIA wakati yule tall kuliko wote ndio Eversmilin Gal
![]()
Hapa ni beibe nasty, wahida, Cantalisia na Catherine wakikata mkonyonyo. Radio ya philips haionekani hapo wala DJ Bishanga naye kamera haikumnasa
Sasa hebu angalia watu wanavyobadilika:
Mentor na Catherine
![]()
Kongosho akimshikisha adabu Erickb52
![]()
Bishanga akiwa kishashiba
![]()
@Mamndenyi akimchekesha Yummy
![]()
Kaizer akimsindikiza mwaJ
![]()
charminglady na platozoom
![]()
Wake zangu Yummy, BADILI TABIA na cacico, ile albamu nyingine mmeiweka wapi??
Khaaa! Sasa kuzunguka koooote huko si ungesema tu kazi ya kuingiziana vikojoleo mpaka vimwage mkojo mzito mweupe? Mi mzee bana mafumbo siyawezagi, taarab siijui. Khaa! ummu kulthum bana dah!
Haya kam zis way nikukate kiu...
![]()
Mtu wa karibu sana, ndo imekuwaje tena? Uko addicted na JF kiasi hiki? Khaaa! Nimekubamba sijakubambaaaa??ban inakuita vibaya ww mie sipo.lakin mod si mtu wako karibu............