Wana JamiiForums wakipiga 'Presha' kamwe huwezi kubaki salama. Hongereni nyote!

Naunga mkono hoja
 
Umemjibu vyema sana Mkuu huyo Fool.
Kuna MTU alikuwa na Siri za Nchi kama Lowassa?. Huyo Makonda ashukuru kama ulivyoandika anaonewa aibu vinginevyo angempokea Sabaya mahabusu yaani angemtangulia hata Sabaya kufinywa.
 
Reactions: BAK
Trust me Bashite si kama hao wengine. Ndo maana unamwona ana kula pension tu. Huyo hawataweza mgusa labda kwa makubaliano anayoyataka yeye. Wanamwogopa sana. Ana mambo yao mengi ambayo kayatega tu wakizibana nanii zake naye atafinya ninii zao.
Hivi huo ujinga huwa mnafundushwa shule gani Mataga.
Ndio maana Nyerere alisema maadui watatu Wa nchi hii ni Ujinga, Umaskini na Maradhi.Pamoja na kupewa shule za Kata sekondar bdo kuna mjinga anaamini kuwa MTU muharifu anaweza kuishinda serikali itakayoweza kusimamia haki
 
Umekalia nini? Step out then utulize akili uandike vizuri ueleweke. Hufahamu kuandika kiswahili basi tumia lugha ambayo utakuwa unaielewa dada
 
Msidhani Makonda ni kama hao wengine. Kama mnataka nchi ichafuke mguseni Makonda. Anafaham siri za wote hao walio madarakani. Ndo maana hata ilikanushwa vikali kuwa hatafutwi na hamna mpangi huo.
SIRI?
 
CHADEMA hao sio threat wanaofanya mnashindwa kwenye chaguzi .Tatizo ni tume huru na katiba ebu kuweni serious kuishinikiza serikali iliyopo madarakani wafanye michakato wa hivi vitu kuliko kushinda mtandaoni mkimpa Rais maelekezo mtumbue huyu kesho tena mnakuja na jina lingine 2025 sio mbali .Nilikua nawakumbusha tu
 
Yani Makonda wanataka mpaka tumdake sisi wenyewe wananchi ndo wataelewa kuwa alituumiza
 
Trust me Bashite si kama hao wengine. Ndo maana unamwona ana kula pension tu. Huyo hawataweza mgusa labda kwa makubaliano anayoyataka yeye. Wanamwogopa sana. Ana mambo yao mengi ambayo kayatega tu wakizibana nanii zake naye atafinya ninii zao.
Hayo mambo yao mengi anayoyajua labda awe ameyaficha matakoni kwake ndio maana kumetuna
 
Sio kila mtu anayeandika ukweli wa aina hii ni CHADEMA.Hivi ni visingizio duni.Mimi ni CCM lakini niliumizwa sn na mienendo ya huyu kijana katika uongozi wake.Alikuwa mungu mtu,mjivuni,katili etc.

So komaa akili.
 
Mbona 'unateseka' sana na 'JF' Kulikoni?
 
Halafu kuna picha Bashite yuko na mama kwenye kochi moja mama hana hata kilemba.

Naamini hiyo picha inasubiri muda wake kusambazwa tena

Hawezi kumtumbua Makonda, kumbuka 2014 baada ya Bunge la bajeti Makonda aliwahi kupendekeza kuwa ikiwezekana Mama Samia awe Makam wa wa Rais 2015 na ikawa hivyo...kwa hiyo Mama Samia ana ushuhuda fulani toka kwa Makonda.
 
Hebu tuachie Taznaia yetu! Kwani wewe si Raia tunajua. Usituletee fujo za kwenu huko. Si tumnachotaka maendeleo basi. Hatutaki maneno!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…