Wana JamiiForums waliosoma na Paul Makonda

Wana JamiiForums waliosoma na Paul Makonda

Salt Bae

Senior Member
Joined
Jan 9, 2019
Posts
140
Reaction score
196
Hivi humu jamii forum kuna watu waliosoma na mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam atuambie ata uwezo wake ulikuwaje darasani ata waliosoma nae chuo
1059456
 
Yaani hapo.pierre hatomboi na jamaa ndio kamuharibia hivyo..hasa aliposema kuwa wanamtumia kwa matagazo ya biashara kama balozi ndio kamuua kabisa

Wa sukumaland
 
Yaani hapo.pierre hatomboi na jamaa ndio kamuharibia hivyo..hasa aliposema kuwa wanamtumia kwa matagazo ya biashara kama balozi ndio kamuua kabisa

Wa sukumaland
Mzee biashara ni suala lingine... Labda yangekuwa matangazo anafanya ya serikal ya mkoa wa Dar... Riziki hupangwa na Mwenyezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi humu jamii forum kuna watu waliosoma na mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam atuambie ata uwezo wake ulikuwaje darasani ata waliosoma nae chuoView attachment 1059456

Huyu jamaa wakati nipo High School Old moshi alikua anatubania kuangalia EPL na Uefa Champions league kwenye hall ya Chuo cha ushirika pale na alikua mwaka wa Kwanza tu. Wana Old moshi tulikua tuna mchukia mbaya.
 
Back
Top Bottom