Kwetunikwetu
JF-Expert Member
- Dec 23, 2007
- 1,535
- 412
Mkuu hapo kwenye wanawake fresh,niliona bado mbona kuna tatizo,ndoa nyingi zinafungwa za wanawake fresh ila pia ndo zinaongoza kwa matatizo,nadhani ukiangalia upande wa ndoa yenye tatizo naweza sema hata hao wasichana fresh huto-oa,cha muhimu zaidi ufahamu changamoto zitakazokukuta na jinsi gani utaweza zikabili,mtu mwenye busara akimbii matatizo bali utafutia majibu sahihi ya hayo matatizo,ndo maana nimeliwakilisha suala hili kwa great thinkers,nina mtoto wa nje ya ndoa,nakua muwazi kwenye kulijadili hili nipate jibu sahihi
Mkuu mtu hujikuna panapowasha....! Sijui sampling frame yako ilikuwa ngapi.....ila cha msingi kama unaona umefika mwisho huoni haja ya kuendelea kuongeza sample basi vuta kitu yako ule tarrrtibu!
Ila chagua kitu kizuri mtu wangu......suala la kusema uzuri sio sura achana nalo......usichukue kitu cha ajabu eti ana tabia nzuri......aah wapi mjomba! Hata Daudi alipoona amechemsha kuchagua mwanamke bomba akakimbilia wake za watu (mke wa Uria)...!