Wana JF, Hivi kuna tatizo gani kuoa mwanamke aliyekwisha zaa

Wana JF, Hivi kuna tatizo gani kuoa mwanamke aliyekwisha zaa

Tatizo ni kutunza watoto wa wenzako! Hakuna tatizo jingine, Otherwise uwe mchoyo?
 
Hapo ni kama kununua gari used mkubwa zingatia ilikuwa used kwa kiasi gani ila hata ukiipiga services isisumbue barabarani
 
Tafuta kitu na box wewe! tunapenda sana used hata kwenye mapenzi loooh...kuna vibinti 16s - 20s na hata 30 bado hawajatotoa! Kwanini uwe na urafiki na jamaa wa garage? na baba wa mtoto siku akiamua kukumbushia utameza wembe?
 
Masanilo, unamaanisha tusioe wanawake wasio na bikra?
 
Masanilo, unamaanisha tusioe wanawake wasio na bikra?

Hahahahah umeenda mbali kaka unaweza wekewa ya kichina .....

Mwanamke mwenye watoto wanne kila mtoto na baba yake unaowa ili iweje?
 
Hahahahah umeenda mbali kaka unaweza wekewa ya kichina .....

Mwanamke mwenye watoto wanne kila mtoto na baba yake unaowa ili iweje?

Ok Mkuu, nilikua nataka kuangalia maana ya kuwa used, aaahhhh wtt wanne kila mtt na babiye, moja kwa moja tatizo atakua nalo mwanamke, tujadili kuhusu wtt wa baba mmoja, thanxs
 
hakunaga ukweli juu ya hilo, mbona mie nimezaa kwa njia ya kawaida na hiyo hali ya kulegea cjaiona? kuna mazoezi ya kurudisha hiyo misuli jamani nyie wababa, ondoeni hiyo dhana.

Hali ya kulegea huwezi kuiona wewe, mwenzio ambaye alikuwa nawe kabla haijalegea ndiye ataliona hilo badiliko. Na kwa kuwa ni mumeo anakupenda na kukuheshimu, hawezi kukuambia imelegea maana anajua atakuumiza hisia zako. Lakini ukweli ni kuwa huwa inalegea na inakuwa tofauti kabisa na mwanzo.
 
Back
Top Bottom