Wana JF jifunzeni kutoka kwangu.(somo nimelipata)

Wana JF jifunzeni kutoka kwangu.(somo nimelipata)

Gunner11

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2021
Posts
16,680
Reaction score
31,804
Bila shaka somo nimelipata sasa..

Binafsi nilikuja humu kwa nia ya kutaka kujifunza, lakini pia kuweza kutoa kidogo nilicho nacho ili niweze kusaidia wengine huku nikiwa bora zaidi.

Ofcourse mimi sio mtakatifu nina mapungufu yangu kama kila mtu..

Ila leo ndio lile somo kuu limeniingia

Ya kuwa USIPO JI MASTER WEWE MWENYEWE HAKUNA MTU NJE ATAKAYE KUSAIDIA. CHANGE YOYOTE L7AZIMA IANZIE NDANI YAKO NA WATU WAKO KWAJILI YA KU MIRROR KILE KILICHOMO NDANI YAKO.

Nilipo ingia humu, nilikuwa mtu poa sana, nilikuwa napenda kutoa ushauri na kuongea madini chungu mzima, ila baadae watu wakachukulia ile kama weakness, maana ilikuwa kama nataka kuwapangia maisha, basi nikawa nawavumilia nikawa navumilia, ila baadae nikajua kugundua kuwa watu ni wabaya sana watu wanapenda egoism kuliko vulnerabitly.

Watu wanapenda kuweka wengine chini, kwa manufaa yao... Wanapenda kufanya mizaha kwa watu wengine ili tu wajiskie vizuri hata kama yule wanayemfanyia yuko sawa.

Nikasema nitawanyoosha, ndipo nilipo ianza hii kampeni ya kusumbua na kupenda battle na majibizano. Mimi ni mtu mwenye kusoma sana vitu na nina hazina ya vitu vingi sana kichwani so linapokuja swala la majibizano lazima usande tu. Nitakupelekea moto hatari.

Nimesumbuana na watu wengi sana ambao kila mmoja aliaga mashindano kwa namna yake,

Tuanze na Kiranga huyu jamaa alikuwa na tendency ya kuweka logic kwenye kila jambo na anataka mawazo yake yawe viable kwenye muktadha wa logic... Ila nilimpelekea moto mpaka a kanipiga ignore...

Akaja Seran binafsi mwanzo kabisa sikujua kama ni mwanamke, ila baadae tukianza kuzoeana na ikafika hatua tukawa marafiki, ila sasa Seran alikuwa anajitapa sana na kila nikijaribu kutongoza anacho la, basi bwana Nika tokea kuchukua tu, nikaanza kumsumbua, ikafika mahala Nika tumia ID ya Elevenn ambayo ilikua kunaswa na mods baada ya kuchanganya mafaili na ile ya de Gunner nikadakwa.

Nilimsumbua mpaka kichwa ikawaka moto, akaja kuniwekea matusi lukuki kwa pm, nami nakasema huyu kasha jaa, ngoja nimwaibishe mbele hadharani.. Mimi ndiye niliemfanya akalimwa ban. Ndo maana hadi leo hataki kabisa kunisika na nahisi a nawaambia member mimi ni mtu mbaya sana. 🤣

Haya kuna huyu jamaa The Icebreaker alijifanya anajua sana kushambulia watu na VAR ila cha mtema kuni alikiona. Alikuwa anadhani atanibadilisha ila alinyoosha mikono na kuanza kutumia lugha za kejeli mpaka ku qoute machapisho yangu ili watu wa nione mbaya ila wapi, mwamba nikirudi unazidi kupaa kwenda juu. Ikafika hatua aka surrender..

Kuna huyu pia Manyanza naye akaja kujaribu battle ila wapi, akaishia kujaribu kuwaambia member wanipe ignore. Nikiweka nyuzi kijiji chote ni changu. Sio kwasababu ni naweka vitu vibaya, ila energy itokayo kwenye machapisho yangu ni real. Watu wanajua bwana

Haya twende kwa wadada kuna huyu Lamomy huyu tumevurugana sana, ila anatambua moto wangu na kuna muda huwa anajirudi tunacheka tena. Anajua kabisa akijaribu ku cross mipaka ikawaka hatoki salama.

Haya kuna pisi na wadada ambao nilikuwa nawaandikia nyuzi humu..

Binti wa zamani ShesRise_1 na mwishowe binti kiziwi najua mnanichukia vibaya sana, ila ndo hivyo yote haya nimeyafanya kuonesha kuwa naweza kufanya lolote..

Kama mtawiwa kunisamehe sawa, ila ndo nilifanya vile tu ili ni furahi na nitumie uwezo wangu wa ki uandishi..

Nawapenda sana kama dada zangu, na sikuwa na intention za kuwa dhalilisha.

Especially binti kiziwi aliniasa sana nisifanye nilicho kifanya ila ego yangu ili kataa kabisa. Pole sana Binti kiziwi

Ndugu zangu, wanabodi,

Maisha haya ya ID feki ni matamu na unaweza kufanya lolote nayo, ila tambua reality yako haibadiliki kwa kufeki maisha. Unatambua wewe mwenyewe kama unashidhia ugali dagaa, au unakula I star hoteli. So, unapo kuja kusumbua watu ujue kuna time kweli watu wanakereka. Kama utataka wakukimbie na wakutenge endelea kufanya hayo ila kama utakuwa mwerevu kujua kubalance utaishi nao vizuri tu.

Binafsi nimetambua hasira sio issue, na kukomoana sio kigezo cha kukubalika.

Nimeona nirudi katika ile hali ya kawaida na nitakuwa member kama wengine. Maana watu hufikia hatua wanakuchoka na sio issue wala nini.

Na cha mwisho kabisa JF sio sehemu mbaya kama nilivyo kuwa nasema, ni sehemu nzuri na kuna madini mengi mno, nimeweka bookmark ya nyuzi nyingi sana ila huwa nina procrastinate kuzzisoma, sasa naanza rasmi. No drama anymore.

Heshimu watu nawe utaheshimiwa

In love and light🪐

de Gunner

*edit.... Naona watu wamefura na kunijia juu, katika huu uzi sijatukana mtu kwa sababu ni naona haina haja tena... Nnaombeni mchukue mazuri na msiweke hisia mbaya maana sio lengo la huu uzi. Nimeelezea kitu kizuri kwa manufaa ya members wote. Najua itakuwa ngumu maana watu tunatawaliwa na ego. Mnaotukana poleni sana maana haisaidii kitu.
 
Chiwawa 😹😹😹
Wapi huko ulikonipelekea moto hadi nikakukimbia??

Labda hao wengine mimi nilikupelekea moto mpaka ukalambwa ban UMESAHAU?? Ukarudi na id yako nyingine ukajifanya mjombake de gunner 😹😹

Wewe tumekuzoea chiwawa wa JF unapenda attention kama haszu..!!
Ni vile tumekuchukulia kama msikiti uliokosa sheikh sasa hivi..!!
 
When ego kicks in lazima watu watafute kila mbinu ya kujilinda kwa maneno😂😂

Najua mchezo mzima na niliamua tu kuandika ili mtu ambae kafikia stage kifikra ya kuweza ku match up na hiyo mindset ataona, patterns na kuchukua hatua

Najua fika kabisa kuwa tuko katika awareness tofauti tofauti na kila mtu anakuwa na kujifunza kwa wakati wake

So, take or leave it fam. 😎
 
Chiwawa 😹😹😹
Wapi huko ulikonipelekea moto hadi nikakukimbia??

Labda hao wengine mimi nilikupelekea moto mpaka ukalambwa ban UMESAHAU?? Ukarudi na id yako nyingine ukajifanya mjombake de gunner 😹😹

Wewe tumekuzoea chiwawa wa JF unapenda attention kama haszu..!!
Ni vile tumekuchukulia kama msikiti uliokosa sheikh sasa hivi..!!
Nakujua vizuri winga anaye ongea sio wewe ni ego😎. Na uko sahihi kabisa. Nilipigwa ban ila moto uliuona.

Sasa mwenzako nilisha graduate
 
Screenshot_20260917-115509~2.jpg
 
Mie Kiranga, nilikua namkubali sana basi kama ulisumbuana nae lazima alikua anakupa uppercut za uso za kutosha ingawa hapo umejimwambafai eti wewe ndio ulimpekelea moto. Any evidences?? Utakua wewe ndio ulikula nyingi toka kwa US baby 😀 😀 😀 😀 😎
Alileta Ad hominem logical fallacy, akatupwa kwenye dustbin.
 
Mie Kiranga, nilikua namkubali sana basi kama ulisumbuana nae lazima alikua anakupa uppercut za uso za kutosha ingawa hapo umejimwambafai eti wewe ndio ulimpekelea moto. Any evidences?? Utakua wewe ndio ulikula nyingi toka kwa US baby 😀 😀 😀 😀 😎
Kiranga anaishi kwa makaratasi sana ila true wisdom ain't coming from logic alone. Hata inventions nyingi duniani zimekuja kwa watu kufuata intuition na creativity.

Jamaa nilikuwa Nampa maswali anaishia kurudi kwenye urojo wa logic ikafika hatua akachoka maana logic iko so limited
 
The Icebreaker ni mfano wa kile nilicho kuwa naongelea ana ego mbaya ya kijinga na anapenda battle za kipuuzi..

Siwezi anza kukujibu ujinga tena mkuu najua umeumia ukishindwa kunibadilisha na sasa comments zako zote chafu nitakuwa naziruddisha kwa mods watakushugulikia wao.

Issue kubwa watu humu wanapenda battle na sio mbaya ila Kuna namna jaribuni kutafuta watu ambao mnadhani wanafaa kufanyia hiyo mizaha
 
Back
Top Bottom