Wana Jf Karibuni Tanga

Wana Jf Karibuni Tanga

mbona mnaahirisha dk za mwisho? Whats wrong?

ofisini mwenzangu anauguliwa na baba yake toka jana hajatokea, niko mwenyewe na nikisema nije kesho sitaweza kuwahi..... naomba tu niwatakie kila la kheri ntawamiss sana, nimeongea na Watu8 yuko njiani ataniwakilisha
 
pole sana usijali utafika tu siku yoyote
 
ofisini mwenzangu anauguliwa na baba yake toka jana hajatokea, niko mwenyewe na nikisema nije kesho sitaweza kuwahi..... naomba tu niwatakie kila la kheri ntawamiss sana, nimeongea na Watu8 yuko njiani ataniwakilisha

pamoja sana mkuu usijali...
 
Pouwa mkuu...
but kwenye ule uzi mama naona wanaoenda wote wapo na wenzi wao..sisi tulio singo inakuweje? au nipitie hapa Nyinda nichukue wa fasta fasta wa kuja naye?

usihofu Mkuu! Wapo single boys & girls tupo nao! Wewe tu!
 
Nipo tanga kwa sikukuu apa minji sijui
Asee awa waendesha baiskeli na pikipiki wanantisha ku drink and drive
 
Back
Top Bottom