LGE2024 Wana JF mmejiandikisha? hizi ni faida za kujiandikisha kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Sipigi kula hadi utaratibu wa kupiga kwenye karatasi uondolewe,na kama utakuwepo basi kila mgombea awe na sanduku lake alafu yawekwe hadharani na wahesabu hapo hadharani Au tuhesabiane anaemtaka mgombea A asimame huku na anayemtaka mgombea B asimame upande wake ila huu utaratibu wa kuchezesha tatu mzuka aaah jichagueni tu mi nataka kama mkeka wa kubet najua hapa mechak elia amenichania mkeka wangu ila sio haya ya wazee wA kindegE.
 
Factors ni nyingi mkuu...

Either kulikuwa na natural calamity siku za uchaguz

Watoto wengi

Literacy level.....low....or high

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Vizuri
 
Mbona tuliwambiwa na NAPE kua matokeo ya kura haitegemei mmepiga kias gan ila Nan anayesimamia sa si kazi ya kujichosha kama muamuz wa mwsho ni msimamiz?
 
That's y inabidi wajiandikishe zaidi Ili kuchagua Kwa wingi watu wanaowataka

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Daaah nsangalufu mbna jina langu hilo

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Sijiandikishi ng'o labda kama masikio yangu hayafanyi kazi!


View: https://youtu.be/sPLjebt5ENE?si=Td9yccpWDNJb2bmc

View: https://youtu.be/Pe2CqPFP-sk?si=35khrWmxsa16P2-R
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…