Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 12,454
- 11,029
Vijana wa hovyo, kesho usianze kulalamika serikali iliyopo madarani inafanya mambo yasiyofaa.Hata kuwe na faida nyingi kuliko hasara siwezi kwenda kujiandikisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wa hovyo, kesho usianze kulalamika serikali iliyopo madarani inafanya mambo yasiyofaa.Hata kuwe na faida nyingi kuliko hasara siwezi kwenda kujiandikisha
Wakichaguliwa viongozi wabaya.....mnakua wakwanza kulalamika ......Nisiwe muongo, sikujiandikisha kwa kupenda kwangu. Hata uchaguzi mkuu sitapiga kura mana sioni sababu ya kufanya hivyo.
Zipo nyingi mkuu....hata hiyo cm unayotumia ni impact ya hiyo kitufaida 3 tu? siendi
Hapana mkuu...iamini mamlaka iliyowekwaSipigi kula hadi utaratibu wa kupiga kwenye karatasi uondolewe,na kama utakuwepo basi kila mgombea awe na sanduku lake alafu yawekwe hadharani na wahesabu hapo hadharani Au tuhesabiane anaemtaka mgombea A asimame huku na anayemtaka mgombea B asimame upande wake ila huu utaratibu wa kuchezesha tatu mzuka aaah jichagueni tu mi nataka kama mkeka wa kubet najua hapa mechak elia amenichania mkeka wangu ila sio haya ya wazee wA kindegE.
Kwanza hujuma zinazoendelea kwenye uandikishaji zidhibitiwe ili tusipotezeane mudaFaida ya Mtanzania kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali ya kitongoji, mtaa, na kijiji ni pamoja na:
1. Kuchagua viongozi bora: Inatoa nafasi ya kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuleta maendeleo na kushughulikia maslahi ya jamii.
2. Kuhakikisha uwakilishi wa wananchi: Kupitia kura, wananchi wanapata viongozi wanaowawakilisha kwenye maamuzi yanayogusa maisha yao moja kwa moja.
3. Kuimarisha demokrasia: Kushiriki kwenye uchaguzi ni sehemu ya kutekeleza haki yako ya kikatiba na kuimarisha demokrasia nchini.
Ndugu zangu, wakati wa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ni huu. Hii ni nafasi yetu ya kuhakikisha tunapata viongozi bora watakaosimamia maendeleo ya jamii zetu. Fanya uamuzi sahihi, jiandikishe leo ili ushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi ujao[emoji120]
Mnasubiri nn???
Policies mkuuKweli kabisa Siasa, sukari,Bei iliyoamua kutuuzia.
Ilikuwa ni utani tu mkuuMzee wa bao la mkono alinikatisha tamaa.
According to waziri husika ....hamna hujuma zozote mkuu ....puuzeni maneno ya mtandaoniKwanza hujuma zinazoendelea kwenye uandikishaji zidhibitiwe ili tusipotezeane muda
unatambwa weweZipo nyingi mkuu....hata hiyo cm unayotumia ni impact ya hiyo kitu
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Faida ya Mtanzania kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali ya kitongoji, mtaa, na kijiji ni pamoja na:
1. Kuchagua viongozi bora: Inatoa nafasi ya kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuleta maendeleo na kushughulikia maslahi ya jamii.
2. Kuhakikisha uwakilishi wa wananchi: Kupitia kura, wananchi wanapata viongozi wanaowawakilisha kwenye maamuzi yanayogusa maisha yao moja kwa moja.
3. Kuimarisha demokrasia: Kushiriki kwenye uchaguzi ni sehemu ya kutekeleza haki yako ya kikatiba na kuimarisha demokrasia nchini.
Ndugu zangu, wakati wa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ni huu. Hii ni nafasi yetu ya kuhakikisha tunapata viongozi bora watakaosimamia maendeleo ya jamii zetu. Fanya uamuzi sahihi, jiandikishe leo ili ushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi ujao[emoji120]
Mnasubiri nn???
Kumpigia mtu kura kwa kipindi hiki hakuna tofauti na kumpa mtu chakula huku wewe unahisi njaa.Faida ya Mtanzania kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali ya kitongoji, mtaa, na kijiji ni pamoja na:
1. Kuchagua viongozi bora: Inatoa nafasi ya kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuleta maendeleo na kushughulikia maslahi ya jamii.
2. Kuhakikisha uwakilishi wa wananchi: Kupitia kura, wananchi wanapata viongozi wanaowawakilisha kwenye maamuzi yanayogusa maisha yao moja kwa moja.
3. Kuimarisha demokrasia: Kushiriki kwenye uchaguzi ni sehemu ya kutekeleza haki yako ya kikatiba na kuimarisha demokrasia nchini.
Ndugu zangu, wakati wa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ni huu. Hii ni nafasi yetu ya kuhakikisha tunapata viongozi bora watakaosimamia maendeleo ya jamii zetu. Fanya uamuzi sahihi, jiandikishe leo ili ushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi ujao[emoji120]
Mnasubiri nn???
well come to my party utajua hujui
Hamuwezi wote kuwa viongoziKumpigia mtu kura kwa kipindi hiki hakuna tofauti na kumpa mtu chakula huku wewe unahisi njaa.
Party gan mkuuwell come to my party utajua hujui
pi Diddy party