Palmoni
JF-Expert Member
- Jun 13, 2024
- 1,968
- 3,760
Hiko Ndicho tunachosubiri""UGALI""
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiko Ndicho tunachosubiri""UGALI""
Niseme nini sasa mkuu,ccm ni watu wenye uchu wa madaraka uliyopitiliza kiasi ambacho wapo tayari kufanya chochote ili mradi tu wapate hayo madaraka lakini ipo siku watalipia wanachowafanyia wananchi wala wasifikiri kwamba wao ni wajanja sana kuliko watu wengine wote katika ulimwengu huu.
Hiko Ndicho tunachosubiri
UsitufokeeFaida ya Mtanzania kujiandikisha kupiga kura katika uchaguzi wa viongozi wa Serikali ya kitongoji, mtaa, na kijiji ni pamoja na:
1. Kuchagua viongozi bora: Inatoa nafasi ya kuchagua viongozi wenye uwezo wa kuleta maendeleo na kushughulikia maslahi ya jamii.
2. Kuhakikisha uwakilishi wa wananchi: Kupitia kura, wananchi wanapata viongozi wanaowawakilisha kwenye maamuzi yanayogusa maisha yao moja kwa moja.
3. Kuimarisha demokrasia: Kushiriki kwenye uchaguzi ni sehemu ya kutekeleza haki yako ya kikatiba na kuimarisha demokrasia nchini.
Ndugu zangu, wakati wa kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura ni huu. Hii ni nafasi yetu ya kuhakikisha tunapata viongozi bora watakaosimamia maendeleo ya jamii zetu. Fanya uamuzi sahihi, jiandikishe leo ili ushiriki kikamilifu kwenye uchaguzi ujao
Mnasubiri nini???
Haya kaka mtani....Nafikiria hautaniangusha Kwa hiri....ni serious issues
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ugali sio msosi mkuu....tafuta ndaramaHiko Ndicho tunachosubiri""UGALI""
Kina nani?
Sawa....kichapo kinakusubiri tarh 19Haya kaka mtani....
Sawa....
Sio msosi kwako
That's y uhali nauna kiingereza chakeSio msosi kwako
Waambie mkuuKujiandikisha mhimu. Japo mshindi anajulikana kirahisi. Ni zoezi la kidemokrasia
Hata usipoichagua itaunda serikali, alishasema yule ajuza akiwa nchini Mexico City. Sasa unajihangaisha kwa ajili ya naniVijana wa hovyo, kesho usianze kulalamika serikali iliyopo madarani inafanya mambo yasiyofaa.
Angekuwepo Mkoloni nchi hii ingekuwa kama United States kwa sasa.Usidanganyike mkuu....bila CCM nchi hii ingekuwa kama enzi za middle stone age ( ujima )
The modern Tanzania of today...ni product ya CCM
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app