Tumefanya professionally, MoU imekaa vizuriAngalia msije kudhulumiana pia maana malalamiko yapo mengi
Wana Bodi habarini za Jumapili. Kwa hakika JF ni jukwaa zuri mno. Nimemfahamu mwana JF mmoja hapa. Nikam PM kisha tukaanza kuwasiliana nje ya JF. Tumeanzisha biashara pamoja na sasa maisha yanasonga mbele.
Kama umempata rafiki, mchumba au mbia wa kibiashara njoo huku utoe ushuhuda ili wengine wasiwe wanapotezea PM zako. Karibun.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihofu mkuu wala hakuna kutajana majina isipokuwa kuonesha social and economuc benefits ulizozipata....Naona sasa ule ' Uchunguzi / Ujasusi ' wa Majina halisi ya Members wa JF umeanza rasmi kwa ' approach ' ya aina yake kutoka kwa wenye Kazi zao pande za ' Eagle Wing House '.
Yangu macho!
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Mie nawafaham watu wengi hapa... one big family..
Long live JF
Mimi simfahamu hata mmoja nje ya JF. Naomba nikufahamu wewe nje ya JF...🙂🙂