Wana Bodi habarini za Jumapili. Kwa hakika JF ni jukwaa zuri mno. Nimemfahamu mwana JF mmoja hapa. Nikam PM kisha tukaanza kuwasiliana nje ya JF. Tumeanzisha biashara pamoja na sasa maisha yanasonga mbele.
Kama umempata rafiki, mchumba au mbia wa kibiashara njoo huku utoe ushuhuda ili wengine wasiwe wanapotezea PM zako. Karibun.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umempata rafiki, mchumba au mbia wa kibiashara njoo huku utoe ushuhuda ili wengine wasiwe wanapotezea PM zako. Karibun.
Sent using Jamii Forums mobile app