Wana JF mnaofahamiana nje ya JF kwa sababu ya JF njooni

Nockout

Senior Member
Joined
May 11, 2017
Posts
143
Reaction score
212
Wana Bodi habarini za Jumapili. Kwa hakika JF ni jukwaa zuri mno. Nimemfahamu mwana JF mmoja hapa. Nikam PM kisha tukaanza kuwasiliana nje ya JF. Tumeanzisha biashara pamoja na sasa maisha yanasonga mbele.

Kama umempata rafiki, mchumba au mbia wa kibiashara njoo huku utoe ushuhuda ili wengine wasiwe wanapotezea PM zako. Karibun.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona sasa ule ' Uchunguzi / Ujasusi ' wa Majina halisi ya Members wa JF umeanza rasmi kwa ' approach ' ya aina yake kutoka kwa wenye Kazi zao pande za ' Eagle Wing House '.

Yangu macho!
 
watu wa usalama mna mbnu kwel

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom