Ha ha ha ha. Anapumzika baada ya kupata ajali na majeraha kichwani.Hivi kamepotelea wapi haka kamchepuko kangu?
babu hivi ilikuwa wapi?Mi na wewe tumefahamiana wapi?
Kama sio Ksambo basi itakuwa kwenye Meridian Bus...babu hivi ilikuwa wapi?
kweli babu pale kwa kombe .. umesikia fede ametangualia?Kama sio Ksambo basi itakuwa kwenye Meridian Bus...
Hapana asee...kweli babu pale kwa kombe .. umesikia fede ametangualia?
fede kaungulia dukani kwake wengine wanasema kajichoma huko kisa issue za tra wanamsumbua akajichomea ndani kabikia fuvu tu pale marangu mtoni... nimehuzunika chalii lilikuwa limejijenga hatariHapana asee...
Nitakupa zawadi ya Euro million 1humu jamii forum najuana na watu wasiopungua 100,
Kuanzia wale ninaosoma nao na wengine wengi nimewapata humuhumu.
Wengine humu dada zangu wa hiyari,wengine wamekuwa wanangu sana.
Mmoja humu ni demu wangu na tunakaribia kufunga ndoa.
Ni wewe auNafahamiana na wachache wenye faida.
Nikiwemo babu yako, right?
eti MOU jaman jaman, hata MOU ilihusika?
Jamani jamani jamani... huyu Ngosha huyu...fede kaungulia dukani kwake wengine wanasema kajichoma huko kisa issue za tra wanamsumbua akajichomea ndani kabikia fuvu tu pale marangu mtoni... nimehuzunika chalii lilikuwa limejijenga hatari
aminaJamani jamani jamani... huyu Ngosha huyu...
Ngoja nimwachie Mungu...
Alale pema peponi Fede wetu...
Mzee hao mademu wala wala sina nia ya kuwatongoza na wengi kwanza wameniacha mbali kiumri na kimafanikio huwa nawafanyia masikhara tu na wenyewe wanajua hilo.Siunaona jinsi ambavyo unashindwa kuficha ujinga wako?
Shoga toka Lin akawa na demu?
Mademu unao wa approach kwenye threads wote wamekupiga chini umebaki kutapataka kwa kuandika ujinga.
Alfu unajiitwa mwanafunzi wa chuo labda chuo cha ushoga.
Mi ushauri wangu ni nyie vijana kuwaheshimu wazazi wenu...Mkuu huyu dogo analeta dharau
Hugo bi mkubwa wake nikishindwa kumtongoza kwa njia za kawaida hata kwa njia za Giza lazima nimvue chupii.
Akibisha anipe mawasiliano.
Sasa babu Wenger huoni kama comment yako itapelekea matabaka humu jukwaani?Haka kaligi... ngoja nikatafute pop corn...
Game linaelekea litaleta matokeo kama ya Liverpool Vs Arsenal...
Mwanaoo alikuibia kotiii