mwenda wazimu
JF-Expert Member
- Feb 20, 2017
- 819
- 1,280
Eeeeh unataka kuni amshia na mimi dudeUsiingile ligi usizoziweza.
Badala ya popcorn nimejikuta nimenunua nyagi Faru John...Sasa babu Wenger huoni kama comment yako itapelekea matabaka humu jukwaani?
Vp pop corn.. Umeshanunua?
Na sisi mashabiki wanazi mkipiga kambi ya kula hatuko nyuma ....tushajipanga mtakula mshibeMwache ahangaike nalo, mi niko napasha misuli moto tayari kuibomoa Arsenal ya Tandale
Ila umekosea sana kusema Liverpool na ArsenalBadala ya popcorn nimejikuta nimenunua nyagi Faru John...
Ngoja nihangaike nalo...
Na sisi mashabiki wanazi mkipiga kambi ya kula hatuko nyuma ....tushajipanga mtakula mshibe
Ila umekosea sana kusema Liverpool na Arsenal
Haka ni ka ligi ka bondia wa uzito wa juu Antony Joshua ambae ni mm na hapa mapambana na marehemu Thomas mashari.
Noma sana
HAPANANaomba kinyesi nije nikupime mwenyewe..
Chagua jibu
1. Ukijibu ndyo nitakuwa na mashaka na jinsia yako
2.ukijibu hapana itakuwa umeniogopa
Tafadhali nasubiri jibu.
Kwa hilo nakujua haswa .....make hupendagii utani wa kijinga kwenye msosiiiMambo ya lishe hayana tabu kwenye familia yangu
Najua umeshapata majibu kuwa mm ni mwanaume au bado?HAPANA
HAPANA
HAPANA
MWANA WA KIUME!!!!!!!!!!Najua umeshapata majibu kuwa mm ni mwanaume au bado?
Usipotoshe maanaMWANA WA KIUME!!!!!!!!!!
Hatuachi kitu wallahKwa hilo nakujua haswa .....make hupendagii utani wa kijinga kwenye msosiii
LUNCH TIME HII UMEKULA?Usipotoshe maana
Sema hapa mlitishaaa ....Hatuachi kitu wallah
Kuna ulizima gan ww kujua ulichoniuliza?LUNCH TIME HII UMEKULA?
Kwanini unauliza swali kabla ujajibu swaliKuna ulizima gan ww kujua ulichoniuliza?
Ilaa hope timu nzima mtashibaaHakuna matata
View attachment 578097