Wana jf mnayoyasema na michango mnayoitoa ndivyo mlivyo au tunadanganyana??

Wana jf mnayoyasema na michango mnayoitoa ndivyo mlivyo au tunadanganyana??

ndivyo tufanyavyo, you cant speak/write out of nothing
 
maswali ju ya upeo wa m2 wa kufikiri??????????? nani atakujibuuuuuuuuuuuu
 
Umeagana na nyonga shost yangu???maana hizo mbio.........umeniachia vumbi tu hapa

Safari ile alikupotezea this time anakuja na manati ya kizungu...halafu sura kavaa mask ya "Mushi"

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Safari ile alikupotezea this time anakuja na manati ya kizungu...halafu sura kavaa mask ya "Mushi"

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Atanikuta sasa?????thubutu yake.......wao ATM ,Sisi chuma ulete!!!
 
»Mola akupe afya njema na umri mrefu wenye manufaa kwko.
»Azikubali dua na ibada zako.
»Azipokee sala na toba zako.
»Akuongezee ujuzi busara na uwezo ktk utendaji wa kazi zako.
»Akuepushe na shari, chuki na fitna za watu wa mbali na wa karibu yako.
»Akuondoshee maradhi ya aina yeyote kwako
»Lifunguke kila zito lilofungwa juu yako.
»Liangamie kila tatizo na kero maishani mwako.
»Na kila afanyae ubaya ugeuke kuwa wema kwako.
 
naskuru king kong iii kwa maombez yako jf kuna faida sana
 
Back
Top Bottom